U don't know me mkuu, na hapa sijizungumzii mimi Bali tunazungumzia wajibu wa mwanamke na mwanaume wawe wa uswahilini au wa mjini. Mimi kuwa goalkeeper au la ni maamuzi yangu na familia yangu, I can take care of myself ht kama jamaa hatakuwepo, unavyopenda wewe si lazima na mwanaume mwingine apende, wanawake wanajishughulisha sana na hicho ni kitu kizuri zaidi.Wewe kweli goalkipa mzoefu unatakiwa upewe kabisa tuzo ya Golden Glove....
Yaan umeorodhesha mambo yote hayo ili tu kuhalalisha mwanamke kutulia nyumbani kushinda na simu....Believe me sio mda mrefu mwanaume mwenye akili atakudharau....lakini atakuheshimu zaidi kama unaweza kuchangia maendeleo ya familia financially....
Hizo ndoa unazozungumzia ni za uswahilini (wanawake wajibu wao ni kufanya kazi za ndani) hasahasa za watu wa pwani, sasa kama na wewe bado upo huko, kweli kazi tunayo??