Wanaume mnakera sana kupenda vya bure

Wanaume mnakera sana kupenda vya bure

Wow...
Kwa maoni yako mtu ambaye hana mpango wa kuingia kwenye ndoa unamuona kama anapoteza sana?
Uingie kwenye ndoa au usiingie vyote ni sawa kwangu. Si lazima mtu aoe au aolewe. Unaweza ukaoa na ukajuta kuzaliwa. Suala muhimu ni kuwa na Furaha, utaangalia mwenyewe Furaha unaipata wapi.
Just follow your heart, usioe kwasababu wenzako wote wameoa au jamii itakutazamaje.

Ndoa Ina raha zake, na karaha zake lukuki.
Ni mawazo yangu tu lakini.
 
Thanks kwa ushauri mzuri na wa wazi.....

Wanasemaga maoni ya mtu kuhusu ndoa inategemea sana na anayokutana nayo.....
 
Sasa hp anayelalamika ni nani km sio ww mwanamke?? Umepanic bure
 
Last time I checked nilikuwa namjibu Mr. Jack Daniel's . sio lazima uniamini mkuu. Sio mahakamani hapa. Naweza kuongea chochote kile, kiwe uongo au ni kweli.

Ka vp ntakuja kukuomba ushauri wa ndoa maana nataka kuoa mwakani
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom