Wanaume mnakera sana kupenda vya bure

Wanaume mnakera sana kupenda vya bure

Wewe kweli goalkipa mzoefu unatakiwa upewe kabisa tuzo ya Golden Glove....

Yaan umeorodhesha mambo yote hayo ili tu kuhalalisha mwanamke kutulia nyumbani kushinda na simu....Believe me sio mda mrefu mwanaume mwenye akili atakudharau....lakini atakuheshimu zaidi kama unaweza kuchangia maendeleo ya familia financially....

Hizo ndoa unazozungumzia ni za uswahilini (wanawake wajibu wao ni kufanya kazi za ndani) hasahasa za watu wa pwani, sasa kama na wewe bado upo huko, kweli kazi tunayo??
U don't know me mkuu, na hapa sijizungumzii mimi Bali tunazungumzia wajibu wa mwanamke na mwanaume wawe wa uswahilini au wa mjini. Mimi kuwa goalkeeper au la ni maamuzi yangu na familia yangu, I can take care of myself ht kama jamaa hatakuwepo, unavyopenda wewe si lazima na mwanaume mwingine apende, wanawake wanajishughulisha sana na hicho ni kitu kizuri zaidi.
 
Nimependa mawazo yako, ila nimepata dharura kidogo...wifi yako kaja kunitembelea..ngoja kwanza nipunguze mambo...nikishakuwa mwepesi narudi tuendelee....hapo vipi??
 
Kuna wakati brother walikosana na mkewe akarudi kwao hata wiki braza hakumaliza akaamua kumfuata. Tukamuuliza imekuwaje akasema aisee nimejaribu hizi kazi hapa ndani mwili wote unaniuma nimechoka mbaya na sipigi hatua yo yote. Halafu watoto nao hivyo hivyo. Tangu hapo nikatambua kuwa kazi za mwanamke ni "priceless".
 
Kuna wakati brother walikosana na mkewe akarudi kwao hata wiki hakumaliza akaamua kumfuata. Tukamuuliza imekuwaje akasema aisee nimejaribu hizi kazi hapa ndani mgongo unaniuma nimechoka mbaya. Halafu watoto nao hivyo hivyo. Tangu hapo nikatambua kuwa kazi za mwanamke ni "priceless".
Asante, so akiwa Hana shughuli pia ni sawa. Ila kama kuna uwezekano wa kufanya shughuli pia ya kuingiza pesa its okay pia.
 
nimesoma mistari miwili nkapata kichefuchefu,,
 
Nimependa mawazo yako, ila nimepata dharura kidogo...wifi yako kaja kunitembelea..ngoja kwanza nipunguze mambo...nikishakuwa mwepesi narudi tuendelee....hapo vipi??
Hayaaa...kumbe hujaoa bado ndio maana hunielewi. Msalimie wifi. Ipo siku utanielewa. Thanx
 
Bias analysis, one sided analysis!!
Mchambuzi ameoverlook issues zenyewe kwa kulazimisha fikra zake!!
 
Hayaaa...kumbe hujaoa bado ndio maana hunielewi. Msalimie wifi. Ipo siku utanielewa. Thanx

Sasa nishakuwa mwepesi mpaka basi...

Tukirudi kule....kwanini unatetea mwanamke wa kwenye ndoa awe golikipa wakati wenzake walio kwenye ndoa kama yeye wanamudu kufanya kazi anazofanya yeye pamoja na shughuli zingine??....
 
Umekuwa mwepesi lakini akili zako zimevurugika now sio kama saa zile ulikuwa fit.
Sijatetea wasijishughulishe, halafu futa hiyo kauli ya ugoalkeeer.

Hakuna mwanamke goalkeeper, Ina maana amekaa tu nyumbani anakula na kunya?
Kama anaweza kujishughulisha well and very good, kama hakuna uwezekano huo msimrushie mawe pia coz hujui why imetokea hivyo.

Wewe bado hujaoa, ukioa oa anayejishughulisha.

Ninachofahamu mimi..role ya mwanamke(anayejitambua) ni kubwa sana kwenye familia.
 
Akili zangu zimevurugika?? Mbona nahisi niko poa.....

Kuna kitu umenena hapo...kama HAKUNA UWEZEKANO mwanamke wa hivyo asirushiwe mawe...kumbe tunakubaliana kwamba ajishughulishe na shughuli zingine....

Kwahiyo shughuli zote ulizoorodhesha mwanzoni anaweza kuzifanya pamoja na mengineyo Kama Kuna Uwezekano.....Na sio kwamba hataki kufanya kazi zingine zaidi ya zile za ndani hata Kama kuna Uwezekano......

Mi naongelea pale ambapo kuna uwezekano halafu yeye hataki au hachukulii serious inavyotakiwa kwa sababu hapendi au haoni haja.....
 
Tunaenda sawa sasa. Nashukuru.
By the way...lini unaoa?
 
Back
Top Bottom