Wanaume Mnakwama Wapi? Yaani Dakika 3, Chali

Ishu ni kwamba wanawake wengi hupenda kuandaliwa nyinyi tu wakati wa tendo! Na siyo nyie kuwaandaa wapenzi wenu na ndio maana wanaume wengi tunafeli wakati wa tendo.
 
shida ni kwamba hadi nijue huyu ni fundi na huyu sio, ni mpaka nishiriki nae tendo, so nakosa direct answer🙂🙂🙂🙂
 
We naye una visingizio vya ajabu kwani ninyi wanaume mnahitaji kuandaliwa? Kama huwa mnasimamisha kwa kuyatazama tu maungo ya ndani ya mwanamke kuna haja gani ya ninyi kuandaliwa? Sisi hisia zetu ziko mbali bila kuandaliwa tunaumia tu tofauti na ninyi hamuwezi kuumia eti kwa sababu hamjaandaliwa
Ishu ni kwamba wanawake wengi hupenda kuandaliwa nyinyi tu wakati wa tendo! Na siyo nyie kuwaandaa wapenzi wenu na ndio maana wanaume wengi tunafeli wakati wa tendo.
 
Kwaio ulikua na mahusiano na wanaume wawili kwa wakati mmoja...mara ya mwisho umepima ukimwi lini
Kuna watu wagumu sana wa kuelewa, hivi darasani ulikuwa unapataga ngapi vile?
 
shida ni kwamba hadi nijue huyu ni fundi na huyu sio, ni mpaka nishiriki nae tendo, so nakosa direct answer🙂🙂🙂🙂
Sasa tufanye umeshawaonja wote wawili halafu unataka uchague mmoja wa kuoa kati yao sifa zao nyingine zote zinafanana ila tofauti yao ni kwamba tu mmoja ni fundi na mwingine siyo fundi utachagua yupi? Na pia huyo utakayemchagua hautamsaliti?
 
Dah! Mmemuelewa huyu mtu jamani? Kwa nini usiandike Kiswahili tu, poor you!
 
Kwaio ulikua na mahusiano na wanaume wawili kwa wakati mmoja...mara ya mwisho umepima ukimwi lini
Kwani wanaume hamnaga wanawake zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja? Utasikia mwanamke hatakiwi kushindana na mwanaume jibu swali usinipe hiyo sababu
 
Hamwuishi kulalamika. Hizi habari ni zako mwenyewe. Mmekuewa mnatumia midoli mpaka umewaletea sugu sasa unategemea mtu kama wewe ambaye sehemu zako zina magamba utaisi kukunwa kweli?

Acheni kutumia midoli
 
Uwezi juwa wapo wanaume wenye hisia za mbali pia
 
Kama una mume basi ndoa yako iko ICU au upo kundi moja na Joyce Kiria.

Unaendekezwa ubishi mwingi usiokuwa na msingi.
 
Wote wanachezewa lakini yupi mwenye afadhali? Yaani hapo nataka kujua yupi mwenye afadhali hata msizunguke sana sijui thamani sijui umalaya semeni yupi mwenye afadhali?
Kwenye kuchezewa hakuna afadhali. Yaani kwa kuwa wewe upo after money basi unaona upo safe.
 
sio wanaume,sema wanaume wa dar..huku mkoani wenzenu wanakiona cha mtema kuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…