Wanaume Mnakwama Wapi? Yaani Dakika 3, Chali

Wanaume Mnakwama Wapi? Yaani Dakika 3, Chali

"Hedingi" isomeke hivi,wanaume uliokutana nao hawakufikishi,ni pm nikupe vitu vya mkoani
 
Sasa wewe una msongo mkubwa wa mawazo...tukuelewe vipi .. unataka kipi
 
Wengine uzembe tu, yani wameumbwa wazembewazembe!
Wanaume tunapishana sana. Kuna wengine huwa wanawahurumia wapenzi zao yaani wanaona kama watawasumbua au kuwaumiza vile kwahiyo hata mashine hapigi fleshi.
Kingine ni style. Mwanamke huwa ana style yake ya kumpa raha, Unaweza ukapiga hata masaa 3 lakini akakuambia hajaridhika. Ukishajua anapenda style gani unasimamia hapo. Unapewa mpaka asante
 
Samahani kama nimekukwaza mkuu! Kwani tunatafuta pesa ili iweje? Hujui kuna watu hawana kitu lakini wanaenjoy maisha kwa kupata kile wanachokihitaji kihisia? Muachege kujifanya mpo siriasi muda wote

Hujanikwanza mkuu nilitoa tu maona, lakini pia ukiwa huna kitu huwezi kuwa na fraha nakuhakikishia wala huwezi pata ukitakacho. Pesa ndio kila kitu mkuu
 
Mkitaka show kali muwe mnasahau Kuhusu pesa, sio unakuja kulalizya kwakutegemea vitu viwili kwawakati mmoja pesa mnataka namautamu mnayataka. Napigaje Sasa show kali huku nawaza kodi yameza
 
Mkitaka show kali muwe mnasahau Kuhusu pesa, sio unakuja kulalizya kwakutegemea vitu viwili kwawakati mmoja pesa mnataka namautamu mnayataka. Napigaje Sasa show kali huku nawaza kodi yameza
Yaani wanaume bwana ninyi kupotezewa pesa zenu hamtaki ila sisi kutupotezea muda wetu mnataka sasa mnataka mpoteza nini au hamtaki kuwa na cha kupoteza?
 
Mkitaka show kali muwe mnasahau Kuhusu pesa, sio unakuja kulalizya kwakutegemea vitu viwili kwawakati mmoja pesa mnataka namautamu mnayataka. Napigaje Sasa show kali huku nawaza kodi yameza
We piga shoo pesa hata mimi najua kutafuta, acheni visingizio
 
Back
Top Bottom