Wanaume Mnakwama Wapi? Yaani Dakika 3, Chali

Wanaume Mnakwama Wapi? Yaani Dakika 3, Chali

Wanaume tunapishana sana. Kuna wengine huwa wanawahurumia wapenzi zao yaani wanaona kama watawasumbua au kuwaumiza vile kwahiyo hata mashine hapigi fleshi.
Kingine ni style. Mwanamke huwa ana style yake ya kumpa raha, Unaweza ukapiga hata masaa 3 lakini akakuambia hajaridhika. Ukishajua anapenda style gani unasimamia hapo. Unapewa mpaka asante
Asante baba!
 


Sasa wewe una msongo mkubwa wa mawazo...tukuelewe vipi .. unataka kipi
Hujaelewa nini hapa mkuu, ndo maana nikasema nimetulizanana kababa chanja kangu! kanajua majukumu yake, hebu rudia kusoma tena between lines!
 
"Hedingi" isomeke hivi,wanaume uliokutana nao hawakufikishi,ni pm nikupe vitu vya mkoani
Wa mkoani wanaoweza wanahesabika, na hata Dar siyo wote wachovu, kababa chanja kangu kanatokea Kinondoni lakini wee wee weee!
 
Nashukuru Mungu pasipo kutumia madawa au kilevi chochote show inasongeshwa with full control. Nikitaka dk.20,30,40 au zaidi ni mimi tu na vibe langu 😆😆😆. Kwa heshima na taadhima sihusiki na kikombe hiki cha mtoa mada.
Heshima yako mkuu, nakusalimia!
 
Sikuwah kuwaza kama jf pia kutakuwa na jamii za watu wa instagram....

Hizi ni dalili za ushoga...
Umepanic mkuu, na wewe ndiyo zako? Ndiyo maana mnatuona kuwa wasaliti kwa sababu ya ugoigoi wenu na mkiona mada mnakimbilia kutoa matusi badala ya kuangaikia tiba
 
Huyo wa dakika tatu ndio mwanaume sasa. Fastafasta apate mud awa kupumzika awahi kuamka akazisake. Sio jitu linakesha kifuani kama kaahidiwa tuzo na pesa halina[emoji57][emoji57][emoji57]

Khaa, kwelikila mtu na mtuwe! Dakika tatu? Hapana bana tusiwajaze ujinga
 
Tumieni mikono basi, ingekuwa hivyo msingekuwa mnalalamikia k za baridi sijui mabwawa na upuuzi mwingine
Sasa apo kwenye mabwawa na ubarid ndo tunasema izo nyenzo sio supportive ili kuleta uo utamu na ndo maana wengine wanatumia mkono tu coz wanaushape ili uweze kuwa support japo natural k ndo imeumbwa kwa ajili hiyo.
 
Back
Top Bottom