Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hataki waokote maokotoUshaambiwa ni Village Community Bank..
Kwahyo community ni wanawake tuu?
Umeona kwa nn Tanzania ni masikini ? Ni kwa mitizamo km hii,sasa huyu akikaa na vijana wenzake wanadanganyana km hv huku kazi hawana wala kipato cha uhakikaVicoba havina shida ukiwa na source of income ya kueleweka hata ikiwa ni small business....ni njia nzuri ya kutunza kipato chako na njia rahisi ya kupata mkopo wa haraka
Nina madogo wa boda boda wao wana ki umoja chao wana hii kitu ,wanaenda vzr mno ,na wameomba mwalimu awafundisheHuna akili.
Msamehe bure tu mkuuHuna akili.
Huyo ni Mwanamke Wana 'multiple sources of income' hao usishindane naoUmeona kwa nn Tanzania ni masikini ? Ni kwa mitizamo km hii,sasa huyu akikaa na vijana wenzake wanadanganyana km hv huku kazi hawana wala kipato cha uhakika
Bodaboda vijiwe vingi ndio Michezo yao hio hata Bajaj wanacheza hio Vicoba/Upatu/KijumbeNina madogo wa boda boda wao wana ki umoja chao wana hii kitu ,wanaenda vzr mno ,na wameomba mwalimu awafundishe
Sasa mtoto wa kiume unaongea hv kweli ?Huyo ni Mwanamke Wana 'multiple sources of income' hao usishindane nao
Ndio income zenyewe hizo mkuu,unaokota okota ukijumlisha mwisho wa mwaka uko pazuriBodaboda vijiwe vingi ndio Michezo yao hio hata Bajaj wanacheza hio Vicoba/Upatu/Kijumbe
Hainaga jinsia 'kwa sasa sio km zamani' nna Mzee wangu mmoja yupo kwenye Vicoba last year alipewa 10M, funga choo chakoSasa mtoto wa kiume unaongea hv kweli ?
Mtoto wa kiume unatakiwa uwe na income sources nyingi hata km ni za buku bukuHuyo ni Mwanamke Wana 'multiple sources of income' hao usishindane nao
Ndio inaku-push ukiokoteza sio haba Pesa ikikufikia sio Ndogo unafanya makubwaNdio income zenyewe hizo mkuu,unaokota okota ukijumlisha mwisho wa mwaka uko pazuri
Mshamba fulani hivi atajuaje hayo mambo,kuna watu wanalazimisha sana kujulikana.Tatizo ni kwamba huyu Oscar Oscar Hana ujuzi wowote kuhusu uchumi na uwekezaji.
Hujanielewa wewe ukiondoa mikono na miguu nini kingine kinaweza kukuingizia Pesa ukijilinganisha na Mwanamke?Mtoto wa kiume unatakiwa uwe na income sources nyingi hata km ni za buku buku
Hahahahaha,sasa nimeelewaHujanielewa wewe ukiondoa mikono na miguu nini kingine kinaweza kukuingizia Pesa ukijilinganisha na Mwanamke?
10M si haba ,unafanya jamboHainaga jinsia 'kwa sasa sio km zamani' nna Mzee wangu mmoja yupo kwenye Vicoba last year alipewa 10M, funga choo chako
Ningekuwa na muda ningekuja kuwafundisha bure, hii kitu nimestudy India.Nina madogo wa boda boda wao wana ki umoja chao wana hii kitu ,wanaenda vzr mno ,na wameomba mwalimu awafundishe
Wako vzr hawa madogo ni hivyo huna muda ,nawapendea wana nidhamu fulani hv ya kushirikianaNingekuwa na muda ningekuja kuwafundisha bure, hii kitu nimestudy India.
Moja ya faida zake NHIF waliwekaga category ya bima za vikundi lakini sasa hivi wameondoa, ila zipo insurance nyingine na mabank wana towa useful insurance kwa hizi Vicoba.
Nyie jf bhana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],Kutana na wacheza vikoba wa hapahapa jf mbona utakimbia uzi wako,ila most of them ni maisha magumu wanadunduliza
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
[emoji419][emoji419]Kwahiyo angekopa CRDB wangemsamehe deni?
Umalaya ni hulka ya mtu, aina uhusiano na Vicoba.