Wanaume mnaocheza vikoba mnatia aibu

Wanaume mnaocheza vikoba mnatia aibu

Vicoba havina shida ukiwa na source of income ya kueleweka hata ikiwa ni small business....ni njia nzuri ya kutunza kipato chako na njia rahisi ya kupata mkopo wa haraka
Umeona kwa nn Tanzania ni masikini ? Ni kwa mitizamo km hii,sasa huyu akikaa na vijana wenzake wanadanganyana km hv huku kazi hawana wala kipato cha uhakika
 
Nina madogo wa boda boda wao wana ki umoja chao wana hii kitu ,wanaenda vzr mno ,na wameomba mwalimu awafundishe
Ningekuwa na muda ningekuja kuwafundisha bure, hii kitu nimestudy India.

Moja ya faida zake NHIF waliwekaga category ya bima za vikundi lakini sasa hivi wameondoa, ila zipo insurance nyingine na mabank wana towa useful insurance kwa hizi Vicoba.
 
Ningekuwa na muda ningekuja kuwafundisha bure, hii kitu nimestudy India.

Moja ya faida zake NHIF waliwekaga category ya bima za vikundi lakini sasa hivi wameondoa, ila zipo insurance nyingine na mabank wana towa useful insurance kwa hizi Vicoba.
Wako vzr hawa madogo ni hivyo huna muda ,nawapendea wana nidhamu fulani hv ya kushirikiana
 
Kutana na wacheza vikoba wa hapahapa jf mbona utakimbia uzi wako,ila most of them ni maisha magumu wanadunduliza

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Nyie jf bhana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],

kikubwa hatujuani,


Wengine wanaandika shombo hapa,ukute hata kula yake ni ya manati,


Halafu anashupaza shingo kuwasema wanaume wenzie[emoji2957][emoji23][emoji23][emoji23],

Kama hamjui maana ya vicoba,kaeni kimya[emoji40],

Siyo kila kitu mjilazimishe kukijua,


Eti mwanaume mwenye pesa hawezi cheza vicoba[emoji1787][emoji1787][emoji1787],
 
Back
Top Bottom