labda nikusaidie kitu dada angu haya maswala ya mapenzi wengi wana yaongelea kinadharia tu na si uhalisia ndio maana wengi wanapotoshwa,
Kwanza unatakiwa ujue swala la mapenzi lina varies kutokana na mtu na mtu na kila mtu ana hisia zake,
Lakini ukiona mwanamke hadi dk 20 bado hajafika kileleni na mkunaji anakuna kisawasawa basi lazima naye atakuwa na matatizo sababu lazima tukubali hata wanawake pamoja na kelele zenu mlio wengi hamjijui kama mna matatizo ya kufika kileleni na ndio maana kuna wengine unaweza tumiaa hata masaa nane na bado hajafika halafu nayeye anakuja kulalamika eti sifikishwi lol!
Kuna wanawake wengine hata hizo dk 10 nyingi kwake na huenda ndani ya dk 10 akawa kapizi hata mara mbili sabahu swala la mapenzi lina mambi mengi likiwemo hisia pamoja na ujuzi , lakini ujuzi bila hisia nikazi bure,
Hivyo usikalili tu nusu saa unaweza ukawa una long sex drive na mwingine ni short sex drive hivyo swala la mapenzi halina kanuni sijui saa moja mara nusu saa mara dk 10 hizo ni nadharia tu.
Ukweli ni kwamba swala la mapenzi lina tengemea maumbile ya mtu na mtu, mwingine hizo dk 30 ni mateso kwake maana wanawake wengine akisha pizi mara moja tu na hisia zote zimeisha hata ufanyaje utamuumiza tu maana hatotoa lubricant tena na ndivyo alivyo umbwa so huwezi kumlazimisha kwenda nusu saa au saa moja
Hivyo angalia usije ukawa una sugu ukeni halafu unawatupia lawama wanaume kumbe wewe ndio tatizo maana uuke nao ni mwili na unadhurika kama sehemu zingine.