Wanaume mnaoenda chini ya dakika 30, hivi mnajielewa kweli?

labda nikusaidie kitu dada angu haya maswala ya mapenzi wengi wana yaongelea kinadharia tu na si uhalisia ndio maana wengi wanapotoshwa,
Kwanza unatakiwa ujue swala la mapenzi lina varies kutokana na mtu na mtu na kila mtu ana hisia zake,

Lakini ukiona mwanamke hadi dk 20 bado hajafika kileleni na mkunaji anakuna kisawasawa basi lazima naye atakuwa na matatizo sababu lazima tukubali hata wanawake pamoja na kelele zenu mlio wengi hamjijui kama mna matatizo ya kufika kileleni na ndio maana kuna wengine unaweza tumiaa hata masaa nane na bado hajafika halafu nayeye anakuja kulalamika eti sifikishwi lol!

Kuna wanawake wengine hata hizo dk 10 nyingi kwake na huenda ndani ya dk 10 akawa kapizi hata mara mbili sabahu swala la mapenzi lina mambi mengi likiwemo hisia pamoja na ujuzi , lakini ujuzi bila hisia nikazi bure,

Hivyo usikalili tu nusu saa unaweza ukawa una long sex drive na mwingine ni short sex drive hivyo swala la mapenzi halina kanuni sijui saa moja mara nusu saa mara dk 10 hizo ni nadharia tu.

Ukweli ni kwamba swala la mapenzi lina tengemea maumbile ya mtu na mtu, mwingine hizo dk 30 ni mateso kwake maana wanawake wengine akisha pizi mara moja tu na hisia zote zimeisha hata ufanyaje utamuumiza tu maana hatotoa lubricant tena na ndivyo alivyo umbwa so huwezi kumlazimisha kwenda nusu saa au saa moja
Hivyo angalia usije ukawa una sugu ukeni halafu unawatupia lawama wanaume kumbe wewe ndio tatizo maana uuke nao ni mwili na unadhurika kama sehemu zingine.
 
Ww unapenda ufanywaje uone kweli jamaa kashughulika?!...saa nyingine u av to talk to him umwambia nn unataka

Ashughulike ipasavyo,anaweza kwenda moja nikajikuta niko poa kabisa,bao moja masaa3 kiwasho chote kinaisha{Tumieni vizuri dyudyu zenu}
 
haha nilijua tu wapo watakao nigeuzia kibao na hao ndio wahusika kama wewe..sijajumuisha wanaume wote ni baadhi elewa somo na jitahidi ufike 30 mins walau
Hahahahahaaaa Bi Brenda18 inaonekana unajihami...
Haiwezekani ikatokea ukawa msemaji wao bila kuwepo sababu!!!!
 
Pole mwaya, najua yamekukuta weekend hii!!.....
 
Ashughulike ipasavyo,anaweza kwenda moja nikajikuta niko poa kabisa,bao moja masaa3 kiwasho chote kinaisha{Tumieni vizuri dyudyu zenu}

Acha utani wewe.
masaaa matatu unajua ni dakika ngapi? mpira wenyewe hata timu za madrid na barcelona hazifikishi masaa yote hayo japo wana watu waloajiriwa kwa shuguli hiyo kutwa ni mazoezi.

nijitese masaa matatu natafuta nini ukute kutwa nzima nimehangaika na kazi zangu.

nikiingiza tu natema mbegu nasepa. nafanya kwa sababu za kibaolojia tu wala siyo sex machine.
 
khaaaaa na social media zote hizi ajue wanaume wote ndivyo walivyo.??
 
yupi bora kati ya anayekusugua dakika 10 akakupa mimba na yule anayekusugua zaidi ya dakika 30 na asikupe mimba?
 
hili tatizo hata kwa above 30yrs lipo,
inafika mahali unaona bora uache tu kufanya,
manake ni kero.
Mmmh., lazima ufaham sex inataka akili na moyo viwe oky..,Mwanaume au Mwanamke umri unavyozidi kusonga ham ya tendo hupungua kutokana na stress na majukumu..,
Mjenge mtu wako kila anapokuona afurahie kusex na ww..,
 
Sasa aunt kwani bwana mkubwa amekuwa sex machine? Anagonga tu kwa sababu za kibaiolojia, km Unataka 90 minutes niPm nikupe namba za njemba moja akupije dyudyu hadi uimbe kifizikia! Kazi kwako!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…