Wanaume mnaoenda chini ya dakika 30, hivi mnajielewa kweli?

Wanaume mnaoenda chini ya dakika 30, hivi mnajielewa kweli?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwan wanywa viroba ndo hua wanakaa sana?
Daaah pole sana kama ulikua hujui, we ukitaka kupiga show ndefu we kunywa pombe kali kama viroba uone kama hujachoka wewe, sema ndo inaua nguvu ukizoea
 
Daaah pole sana kama ulikua hujui, we ukitaka kupiga show ndefu we kunywa pombe kali kama viroba uone kama hujachoka wewe, sema ndo inaua nguvu ukizoea
Yaan..,sex na viroba au pombe kali...,unajihesabia siku tu za kula kwa macho
 
Af,watu wengine nawashangaaga sana. Kwanza kabisa ina maana we tayari profeshino;unajua ndefu,fupi,nene na nyembamba. Leo akija mwenye ndefu unataka na wa pana. Af pia,kama unaona dakika 10,si kitu, lazima hata akija wa masaa 2 utahitaji na wa masaa sita. akija utahitaji na wa kutwa nzima.Hivyo basi,badhi yenu ni watumwa wa ngono.Tatizo siyo muda. Pili,sasa,ungemuomba mmeo ajilekebishe ningekuelewa. Ila wanaume kwa ujumla! Noma sana. Tatu sasa, wewe umekuja kibiashara.Bia umepewa au hela,na mi nataka mgegedo.Shida yako bia au pesa,na mi shida yangu kumwaga oil chafu.Sasa unataka nijikaange umelipia wewe!Yaani kama ni mimi nakuchana live,unataka starehe,na wewe gharamika.
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema kama kuku vile.

Wanaume wa type hii mnatuchosha ngoja tu niwamegee siri yani unakuta dakika 10 nyingi umeshamaliza, hivi mko serious kweli?

Na akichepuka usilete lawama maana unamuacha mtoto wa watu juu juu na muwasho akunwe na nani, aisee hebu tafuteni solution ya hii kitu.

Sijui ni vyakula mnavyokula au ni uvivu wengi wenu zero kabisa.

Hahaha basi kuna watu wataguswa sana na hii kitu, you can call me names and whatever ila kaujumbe kamefika.

Jumapili njema.
Ndiyo maana kuna nyenzo nyingi ambazo wanaume tunapaswa kuzitumia ipasavyo. Vidole kwa ajili ya kupapasa maeneo yenye msisimuko, ulimi kwa ajili ya kunyonya matiti, kitovu, Ku-ma (kwa walionazo safi), ulimi na kulamba sehemu mbalimbali. Haaya ndiyo huitwa kumwandaa mwanamke wako hadi atepete, na akishatepeta hata kama ni mwanamme mwenye staili ya Jogoo lazima mwanamke wake atafika kileleni tu. Kama inawezekana kumto-mba mwanamke kwa njia ya simu hadi akapata multiple orgasm, kwa nini ishindikane kufanya hivyo mkiwa live.
 
For every action there is equal and opposite reaction...

1. Unaweza ukakuta una kitu cha mnato... we unategemea kwenye mnato mtu akae muda mrefu, labda awe jini...

2. Hamwambiani ukweli na mwenza wako, labda yeye anajiwaza yeye bila kujali umeridhika au la

3. Sometimes ni matatizo ya lishe na afya kwa ujumla, mshauri apige tizi na ale vizuri
 
misielewi sasa ukienda dakika nyingi mdada anasema amechoka oplz kijoa wakati hupo kuna mamlalmiko hatufiki dk30...which is which plz mtoa thread na wanawake wengine....maana mi najitahidi huwa nafikisha kileleni dakika ziwe5 10 au 15 na zaidi saa sijui what women wants...nisaidieni niongeze maarifa?
 
Sijajua kama wingi au uchache wa dk ndio kigezo cha kukuridhisha

Ukikutana na mwanaume ambaye ni mwanaume kweli anayekujua na kutambua lugha yako na anayetumia viungo kisawasawa dk 10 - 20 zinatosha kabisa ww kukuacha ukiwa hoi na kila kiungo hakina ushirikiano na kingine..

Kuna vitu huwa mnavipishanisha kat yako na jamaa yako ndio vinawapelekea kutoridhika
Kweli kabisa hapa ni mautundu tu mi wamadakika mengi akuuuuu simtaki
 
Ile thread nimeitafuta sijaipata aisee, make jamaa anasema ukitaka kuridhika lipia.
Hahaha yule jamaa alikua anaitwa The unknown ,sikumbuki kichwa cha thread kilikua kinasemaje ,sema nikiupata huo uzi nita ku mention
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema kama kuku vile.

Wanaume wa type hii mnatuchosha ngoja tu niwamegee siri yani unakuta dakika 10 nyingi umeshamaliza, hivi mko serious kweli?

Na akichepuka usilete lawama maana unamuacha mtoto wa watu juu juu na muwasho akunwe na nani, aisee hebu tafuteni solution ya hii kitu.

Sijui ni vyakula mnavyokula au ni uvivu wengi wenu zero kabisa.

Hahaha basi kuna watu wataguswa sana na hii kitu, you can call me names and whatever ila kaujumbe kamefika.

Jumapili njema.

Kwani ni Vita au Starehe mbona sielewi sasa
 
Hahaha yule jamaa alikua anaitwa The unknown ,sikumbuki kichwa cha thread kilikua kinasemaje ,sema nikiupata huo uzi nita ku mention

Poa mkuu, maana ule uzi unahusika sana kwa baadhi ya maeneo.
 
Back
Top Bottom