Wanaume mnaofunga PM na Details zenu, mko sawasawa kweli?

Nafikiri sura yako inafanana na huo mchoro wa binti aliyebinjua mdomo uliyemuweka.
 
em m-tag huyo mwanaume ambaye ulitaka umpige kizinga heavy ila ukakuta PM locked.
 
kwan kwenye hz PM za wanaume unatafuta nini we binti, kilimo cha mpunga au ?
 
we dada wewe em kunywa supu apo naja kulipa....
af ukome kufatilia maisha ya watu!!
Kwan we yanakuusu nini account yangu
bando langu af we ni nan kunpangia

pumbafu
 
we dada wewe em kunywa supu apo naja kulipa....
af ukome kufatilia maisha ya watu!!
Kwan we yanakuusu nini account yangu
bando langu af we ni nan kunpangia

pumbafu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Doohh kweli imekusumbua sana hii asee.. ila kuna watu wanaboa jf lakini siez kuwawekea ignore list na hata kufunga pm sababu ya watu..

Ila vipi ulitaka kuingia PM ya mtu ukakuta kufuri nini..
 
Kumbe wewe Ni ke [emoji848]
 
Mkuu umejaribu nayangu pia????

Unafanya biashara gani kutembelea kila PM ya Mwanaume???

Daahhhhhh zama kweli zimebadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…