King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
POVU KAMA LOTE.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we dada wewe em kunywa supu apo naja kulipa....
af ukome kufatilia maisha ya watu!!
Kwan we yanakuusu nini account yangu
bando langu af we ni nan kunpangia
pumbafu
HahahahaUnakuta hili dongo ni la mtu mmoja tu....Sijui nani huyo aliyemfungia mdada Wa watu wakati kuna watu hatujawahi tumiwa hata hellow huko PM
Inabidi afikishe ujumbe kwa kugeneralize, na nadhan mhusika atakuwa kauonaHahahaha
Kumbe wewe Ni ke [emoji848]Eti utakuta mwanaume mzima, na akili zake timamu na kwa makusudi kabisa anafunga Pm yake.
Hivi naomba kuuliza, wewe mwanaume unafunga Pm ili iweje?
Unaogopa kutongozwa Pm au unaogopa kuombwa pesa huko Pm.
Hongera kwa wanaume woote wasiofunga Pm na Details zao.
Nyie mliobaki, huo ni Umama mnaoleta.
Yaani nikiona dume zima linafunga Pm huwa najiuliza mara mbilimbili, ni mzima kweli au kuna makucha anaficha!
Unaanzaje kufunga Pm na unamfungia nani hiyo Pm?
Pesa huna tuseme tutakuomba,
Sura huna,
Mvuto huna,
Pozi huna,
Kazi huna,
Maisha yako hayaeleweki....unafunga Pm ya nini?
Fungua upate madili.
Mtakosa vingi kwa umama wenu.
Pm acheni wafunge wadada, nyie wanaume ni kupambana hukohuko.
Wanaume woote mnaofunga Pm, mjue nimewadharau sana.
Na siwapendi hata.
Eti dume zima linaongelea kuhusu ignore list jukwaani.
Anaomba afundishwe jinsi ya kutumia kitufe cha ignore list....huoni aibu wewe!!! vingine jifunze mwenyewe ukiwa umejifunika na shuka kitandani.
Unataka kumuweka nani huko, au una account yako ya M-pesa huko ignoreni?
Mwanaume wa kweli hamuweki mtu Ignore list..bali anapambana nae hoja kwa hoja, jiwe kwa jiwe, chaka kwa chaka na pori kwa pori
Mwanaume wa kweli hafungi Pm hata kwa sekunde moja.
Ujumbe wangu ndo huo.
Povu lenu nipeni nikafulie mashuka nikiamka asubuhi.
View attachment 882875
Muhusika kaona,ila sie wengine katuonea tu,km usemavyo hata salam hatujawahi kupataInabidi afikishe ujumbe kwa kugeneralize, na nadhan mhusika atakuwa kauona
[emoji23][emoji23]kama mim sijui kama ipo waz au imefungwaMuhusika kaona,ila sie wengine katuonea tu,km usemavyo hata salam hatujawahi kupata
Anafanya tuonekane wote tumefunga PM zetu aiseeMuhusika kaona,ila sie wengine katuonea tu,km usemavyo hata salam hatujawahi kupata