Wanaume mnaofunga PM na Details zenu, mko sawasawa kweli?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka kwa sauti insta babe
ndiooo insta babe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ we mtu ulishajitangaza una dushe unafikir nani atakukaribisha PM πŸ˜‚
 
Watu tumeoa wewe, na ni lazima tufikirie juu ya wake zetu. km ni dili we nitag tuu
 
Mimi nimeshampata wangu mwenye chura pm ya nini tena?Au unataka niingie kwenye vishawishi??!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…