Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
Kisaikolojia tena jmnIpo wazi njoo ila ujiaandae kisaikolojia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisaikolojia tena jmnIpo wazi njoo ila ujiaandae kisaikolojia
Hv kumbe wanaume nao wanasumbuliwaga [emoji848]Sasa wao wameona wanasumbuliwa kilichowafanya wawatumie picha ni nini
Unajua mi mwepesi sana kumuelewa mtu ama kumhurumia mtu! Sa wajanja wanaweza kutumia madhaifu haya kunitenda!Makubwa haya
Usiogope au neno hilo limekutishaKisaikolojia tena jmn
Unajua mi mwepesi sana kumuelewa mtu ama kumhurumia mtu! Sa wajanja wanaweza kutumia madhaifu haya kunitenda!
Hv kumbe wanaume nao wanasumbuliwaga [emoji848]
Lilinitisha kidogo... Wacha nijikoki nijeUsiogope au neno hilo limekutisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii kali ndo nasikia leoEti mahandsome
Wewe nimeshakuhurumia sana, tena wewe ndio usiseme kabisa, basi tu hujui ama unajua ila unajichetua!Mbona mm hujawahi nihurumia
🙂🙂🙂Wewe nimeshakuhurumia sana, tena wewe ndio usiseme kabisa, basi tu hujui ama unajua ila unajichetua!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii kali ndo nasikia leo
Kweli slim sijui mimi niambie umenihurumia liniWewe nimeshakuhurumia sana, tena wewe ndio usiseme kabisa, basi tu hujui ama unajua ila unajichetua!
ndiooo insta babe 😂😂😂😂😂 we mtu ulishajitangaza una dushe unafikir nani atakukaribisha PM 😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka kwa sauti insta babe
Watu tumeoa wewe, na ni lazima tufikirie juu ya wake zetu. km ni dili we nitag tuuEti utakuta mwanaume mzima, na akili zake timamu na kwa makusudi kabisa anafunga Pm yake.
Hivi naomba kuuliza, wewe mwanaume unafunga Pm ili iweje?
Unaogopa kutongozwa Pm au unaogopa kuombwa pesa huko Pm.
Hongera kwa wanaume woote wasiofunga Pm na Details zao.
Nyie mliobaki, huo ni Umama mnaoleta.
Yaani nikiona dume zima linafunga Pm huwa najiuliza mara mbilimbili, ni mzima kweli au kuna makucha anaficha!
Unaanzaje kufunga Pm na unamfungia nani hiyo Pm?
Pesa huna tuseme tutakuomba,
Sura huna,
Mvuto huna,
Pozi huna,
Kazi huna,
Maisha yako hayaeleweki....unafunga Pm ya nini?
Fungua upate madili.
Mtakosa vingi kwa umama wenu.
Pm acheni wafunge wadada, nyie wanaume ni kupambana hukohuko.
Wanaume woote mnaofunga Pm, mjue nimewadharau sana.
Na siwapendi hata.
Eti dume zima linaongelea kuhusu ignore list jukwaani.
Anaomba afundishwe jinsi ya kutumia kitufe cha ignore list....huoni aibu wewe!!! vingine jifunze mwenyewe ukiwa umejifunika na shuka kitandani.
Unataka kumuweka nani huko, au una account yako ya M-pesa huko ignoreni?
Mwanaume wa kweli hamuweki mtu Ignore list..bali anapambana nae hoja kwa hoja, jiwe kwa jiwe, chaka kwa chaka na pori kwa pori
Mwanaume wa kweli hafungi Pm hata kwa sekunde moja.
Ujumbe wangu ndo huo.
Povu lenu nipeni nikafulie mashuka nikiamka asubuhi.
View attachment 882875
Karibu mpaka ndani jisikie uko nyumbani [emoji5]Lilinitisha kidogo... Wacha nijikoki nije