Wanaume mnaofunga PM na Details zenu, mko sawasawa kweli?

Wanaume mnaofunga PM na Details zenu, mko sawasawa kweli?

Ni weweeeee mdogo wangu. [emoji15]

Mmekumiss huku jf ujue. [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]

Nnavyojichetua kama sio yule nliyekuletea umbea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahha siku hizi nina utulivu ujue napatikan san huku nipo dada ufanye uje basi
Kumbe mshafunga geti la PeraMiho ndio maana nawatumia ujumbe unakataa kuingia[emoji27][emoji27][emoji27][emoji27]

Kumbe nishatengwa toka siku nyingi hapa[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Hahahaha, mtani mbn we umefunga pia ,oooh samahani kumbe wanasemwa ni wanaume ,dah nilisahau
Hahahaaa. Nimecheka kama mjinga hapa Mtani.

Mie nilifunga ndio sema zamaaani 🙈🙈 si wajua tena. 😜😜😜😜 kufuli nimelipotezaga basi nikaona nisichonge nyingine kubakiage tu hivyo hivyo. 😂😂😂😂
 
Hahahaaa. Nimecheka kama mjinga hapa Mtani.

Mie nilifunga ndio sema zamaaani [emoji85][emoji85] si wajua tena. [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] kufuli nimelipotezaga basi nikaona nisichonge nyingine kubakiage tu hivyo hivyo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha, kwahy mtani vice versa Uzi unakuhusu huu,dah ndio maana kila nikisalimia nakutana na kufuli dah haya mtani
 
ID yangu, PM yangu, Avatar yangu, Bando langu, Simu/Laptop yangu, Muda wa kuingia JF wangu, nnachotaka kupost change.
Anatokea wapi wa kunipangia cha kufanya wakati hapa kila mtu anaingia bila kushurutishwa? Details za ID au detail za mwenye ID unazitaka?
 
Back
Top Bottom