ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Kuna midume humu kazi yao ni kijipendeka kwa wanawake kwa kujifanya watetezi wa wanawake hasa kwenye mada zinazo ongea negative kuhusu wanawake, tena wengine wanafika hatua za kuanzisha mpaka thread za kuwatetea ,nataka niwaambie mnakera sana.
Mm nimeanza kuifuatilia JF mwaka 2017 na nikaja kufungua ID rasmi mwaka 2022 lakini sijawahi hata kwa bahati mbaya kuona comment au thread iliyo andikwa na mwanamke kwa ajili ya kuwatetea wanaume.
Hivi hapa duniani kuwa watu wanao pitia magumu zaidi ya wanaume ?
Mbona wanawake huwa hawajishughulishi na sisi ila sisi kutwa kukitia kiwatetea?
Unakuta lidume zima linaanzisha mada ,mara wanawake wasisemwe kwa sababu ni mama,dada,wake,shangazi zetu.
Aliye kwaambia mtu kuwa ndugu yako basi kunahalalisha kile anacho kifanya ni nani?
Hao wanawake wao hawana kaka,na baba zao mbona huwa hawajipendekezi na kujifanya watetezi wa wanaume?
Hata kwenye kampeni ya 50kwa50 ukiangalia ni midume ndo imeipa nguvu.
Mfano tuongelee kuhusu suala la single mother ,ikianzishwa mada yeyote itakayo ongelea hilo tatizo utashangaa midume inakuja mbio kutetea.
Ukimuuliza mbona una watetea atakwambia eti kwa sababu na mimi nina watoto wa kike,kwa hiyo kumbe tunatakiwa kuutetea hata ujambazi kwa sababu wenda watoto wetu siku moja wanaweza kujikuta wanakuwa majambazi sio?
%98 ya matatizo waliyo nayo wanawake hawa wa kisasa chanzo ni wao wenyewe hivyo ni lazima wasemwe maana wanafanya upumbavu mwingi alafu mizingo ambayo ni matokea ya upumba wao wanaenda kuwabebesha mizigo wazazi wao na ndugu zao.
Tena huo usingle mother mabinti baada ya kubarehe huwa wanautafuta kwa nguvu kweli kweli,nitakuja kuanzisha mada nyingine juu ya hili.
Wengine huwa wanafika mbali na kuuliza kuwa eti kwani mimba huwa wanajipa wenyewe?
Hivi mfano leo hii Makonda akija akakuta umekaa sehemu akaanza kukuchokoza ,kati ya ww na Makonda ni nani anatakiwa kumuepuka mwenzie ili msifikie hatua ya kupigana?
Jibu ni ww ndo unatakiwa kumuepuka maana ww ndo utalipa gharama kubwa juu ya ugomvi huo maana ukimpiga utaozea jera hali yakuwa yeye hata akikupiga hatofanywa chochote.
Mtu mwenye akili siku zote kabla ya kufanya kitu fulani huwa anapima ni gharama gani atalipa juu ya hicho anacho taka kutenda na sio kumtegemea huyo unaye fanya naye afikiri kwa ajili yake.
Binti kabla ya kumvulia chupi mwanaume tambua kuwa ww ndo utalipa gharama kubwa juu ya hicho unacho taka kukifanya,hivyo ni jukumu lako kufikiria iwapo utakuwa na uwezo wa kuzilipa hizo gharama na sio kumtegea mwanaume afikiri kwa
ajili yako.