Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Siku hizi Wanawake wanabeba mimba na kuzaa bila mwanaume kujulikana nyumbani huu utamaduni haukuwepo miaka ya nyuma zamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]We wakike au wakiume? Kama wakiume basi pole wapewe wazazi wako.
Hatuongelei vijana wa kiume na single mothers tunaongelea vijana wa kiume wanaoleta hao single mothers.Tatizo la vijana wa kiume ni lipi? Wanawabaka hao singo Maza?
Kwa wazaz wa zaman ni kumshika baba makalio hadharani..Kuna style moja siku hizi,utakuta binti kazalishwa yupo kwa wazazi wake na wazazi wake hawajui baba wa mtoto na wala huyo binti hataki kumleta ila still wazazi wanaishi nae. Hili kwa wazazi wazamani ni tusi kubwa sana.
Sometimes hata wazazi wa siku hizi wanachangia mabinti zao wao Masingle Mother. Unakuta binti hana shughuli yoyote ya kumwingizia kipato au anayo ila kipato anacho ingiza ni cha kawaida sana.Ila vitu anavyo miliki yule binti ni vya gharama na unakuta anampa mzazi wake hela nyingi au vitu vingi vya gharama, mzazi hajiulizi binti yake hela kaitolewa wapi,je zawadi inaendana na kipato cha shughuli yake.Kwa wazaz wa zaman ni kumshika baba makalio hadharani..
Mim nilishuhudia laivu mtaani kwetu kuna binti X mwanzoni mwa ajila yake alianza kutembea na mume wa mtu ofcoz mume wa mtu alikua na kipato, alimpangia nyumba huyo binti X huko mbezi beach. Alimpa gari na akamfungulia duka mwenge (jamaa akichukua mzigo anamuekea na binti kwenye duka lake,)Sometimes hata wazazi wa siku hizi wanachangia mabinti zao wao Masingle Mother. Unakuta binti hana shughuli yoyote ya kumwingizia kipato au anayo ila kipato anacho ingiza ni cha kawaida sana.Ila vitu anavyo miliki yule binti ni vya gharama na unakuta anampa mzazi wake hela nyingi au vitu vingi vya gharama, mzazi hajiulizi binti yake hela kaitolewa wapi,je zawadi inaendana na kipato cha shughuli yake.
Wazazi wanazipokea na wanaona binti yao kayapatia maisha, wanaopenda kupokea zawadi/fedha ni wakina mama ila siku hizi mpaka madingi nao wapo kwenye mkumbo huo. Ndio maana mabinti zao wanapopata mimba inabidi wawe wapole na kukaa nao nyumbani.
Ila wazee wazamani binti yake akimpatia zawadi hata ile ndogo au hata fedha atataka kujua ameitoa wapi na hato ishia hapo atachunguza kujua source ya mapato yake na akishaijua kwamba ni mwanaume, hiyo zawadi hatoichukua na atamripoti kwa Baba yake. Wazazi wa zamani walikuwa wanapokea zawadi kutoka kwa wakwe zao waliokwisha kutoa mahali.
Siku hizi tunaishiishi hatuna miiko na sheria kwenye familia zetu yaani hovyo hovyo. Ila wazee wazamani hata kijana wake wakiume akimuona kishaanza kudate na wanawake. Anamwita na kumpa ukweli kwamba,hao wanawake anao wagonga kila siku, siku akimpa mimba binti yoyote kwanza kwake hato kaa na huyo binti atamuoa na hata kama akishindwa mzee anaingia front mwenyewe anamtolea mahali na hela ya kuanzia maisha na mkewe. Ila siku hizi ni tofauti.
Makosa ni yetu pia wanaume maana mbegu si sisi ndo tunaamua pa kuzipelekaMm nitajuaje kwamba leo nikikufanya unapataimba ua haupati. Makosa yenu msiwarushie wanaume
asilimia 98 ya wanaume wanaodate huku wanajitafuta huwa hawatarajii mwanamke ashike mimba na wengi wao hutoa warning mapema shida ipo kwa hawa wenzetu wao mimba ndio ngao yao ya kututekaa na kuhisi tutaishi nao na kuwaoa.Naomba niende kwenye point kabisa. Hii ni kwa wanaume/kaka/vijana kama mimi. Najua life ni ngumu na kwa kipindi hiki mwanaume kutafuta mpaka ukajipata sio kitu cha muda mfupi inachukua muda sana.
Basi hii isipelekee kuwatesa viumbe wa upande wa pili basi.
Utakuta mwanaume anasema ooh. Mimi kuoa mpaka nikijapata sasa kipato changu cha kulea familia hakijitoshelezi, ilo unalosema ni sawa SASA MBONA UNAENDELEA KUGAWA MIMBA KWA WADADA ZETU, ko hao watoto wanatakiwa kulelewa na nani aliejipata?
Wewe unasema ukijipata ndio utaoa ili uweze kulisha familia yako, wakati muda huo huo unaendelea kutengeneza familia nyingine (ili ilelewe na nani sasa)
Em kuweni WAUNGWANA BASI. Kama unataka Familia siku ukijipata basi subiri muda huo ndio utengeneze hizo familia, sio kutubuluzia wadada zetu tunaishia kuwa na SINGLE MOTHERS kibao.
Siku hizi kila ukitongoza Dem ana mtoto. Kuoa dem mwenye mtoto inaanza kuwa kawaida sasa hivi.
Dem kua na mtoto mmoja imeanza kuwa afadhali sasa hivi kuna madem wana watoto mpaka wa3 baba tofauti.
Hii inachosha jamani. kha.
Hoja yako mbona havieleweki, ni kukwepa majukumu au kutengeneza single mother, kwani akifanya majukumu huyo mwanamke anakuwa sio tena single mother.Hatuongelei vijana wa kiume na single mothers tunaongelea vijana wa kiume wanaoleta hao single mothers.
And yes its true hawabakwi, (japo kuna wanaobakwa pia), ila baada ya binti kupata ujauzito eidha kwa kukubaliana au bahati mbaya kijana wa kiume ndiye wa kwanza kukimbia kukwepa majukum
Kweli si kweli?
Bro unapiga dem kam mkeo, na kumwagia ndani juu.Wasilimia ya 98 ya wanaume wanaodate huku wanajitafuta huwa hawatarajii mwanamke ashike mimba na wengi wao hutoa warning mapema shida ipo kwa hawa wenzetu wao mimba ndio ngao yao ya kututekaa na kuhisi tutaishi nao na kuwaoa.
Single mother mzee. Ukimuoa hawezi kuwa single mother and ukioa una embrace majukum.Hoja yako mbona havieleweki, ni kukwepa majukumu au kutengeneza single mother, kwani akifanya majukumu huyo mwanamke anakuwa sio tena single mother.
Usiseme makosa yetu sisi usituingize humo, sema makosa yako maana labda mwanaume mwenzetu wewe unabeba mimba na kunyonyesha.....How come mimba suala linalomuhusu mwanamke then wewe uje kusema tatizo la mwanaume is that normal thinking.Makosa ni yetu pia wanaume maana mbegu si sisi ndo tunaamua pa kuzipeleka