Mbogo_beichee
JF-Expert Member
- Mar 31, 2021
- 224
- 608
- Thread starter
-
- #101
Well played brother. Umepunguza shida upande wa pili.Mimi watoto wangu wote wawili wapo kwangu mama zao wote wamesholewa, asee kwa hilo la mama zao kupata mabwana najivunia sana ,nmekwepa lawama .
Naendlea kupamban kuwaelewesha taratibu.Hawatakuelewa.
Bro sizan kama vijana wanakimbia mimba au watoto kwa sababu ya ugawaji wa mali. Japo wapo baadhi ila majority ni sabab zao zingine tuu. Uvivu, jeuri, hofu, na kutojipanga n.kHaya yote ni matokeo ya sheria kandamizi.
Dunia haimjali mwanaume,
Mafanikio ya Beijing 2000
Hakika kiongoziWell played brother. Umepunguza shida upande wa pili.
Yeah....ni maokoto.Ila wakati unaona mamb yanakua hivo umeshawai kujiuliza tatizo ni nin haswa
Yeah sure.Ila wakati unaona mamb yanakua hivo umeshawai kujiuliza tatizo ni nin haswa
Duuu basi nahisi tunahitaji njia mbadala kubadilishana maisha na mawazo ya kila siku au tuseme tabia. Maana kama unavosema unapofika kwenye swala la maokoto. Mwanamke hua anapoteza akili zake timamu kabisaYeah....ni maokoto.
Wanawake wa leo wanapenda kitchen party gala na gala zingine sasa zile zina show off.................
Naamini kama mwanamke ni muelewa ataelewa kipato cha mume wake sio kila party atatakiwa awepo (utafikiri amekua maua).Yeah sure.
Wanawake wa mjini hasa hawa wa kisasa wanataka kwenda kitchen party gala na gala zingine kila mwaka. Na hizi zinaambatana na show off
Je,nini kitakutokea hapo ww kama mume.
So,uwe na maokoto ya hizo mambo zake
Ndo inategemeana zaidi pia na familia aliyotoka....Naamini kama mwanamke ni muelewa ataelewa kipato cha mume wake sio kila party atatakiwa awepo (utafikiri amekua maua).
Kama mwanamke anauelewa au ana upeo mkubwa wa kufikiri atatambua usawa unakaba. Na hata kam hela ipo kuna kua na mambo mengine mengi ya kufanya kuliko kila siku kutoa michango ya harusi na vicheni party.
Kabisa aisee, akili ya mwanamke hapo inakuwa ipo tayari kwa lolote.Duuu basi nahisi tunahitaji njia mbadala kubadilishana maisha na mawazo ya kila siku au tuseme tabia. Maana kama unavosema unapofika kwenye swala la maokoto. Mwanamke hua anapoteza akili zake timamu kabisa
Siku anapokuja kuona picha kamili ya mwanaume ndio matusi ya kuita mbwa yanapoanziaMe nadhani suala la kubeba mimba libaki kuwa ni makubaliano ya pande zote mbili.
Haiwezekani u-date na Mwanaume hata hujui mwenendo wake Wala kufahamu Mipango yake eti umbebee mimba, itakuwa ni kujiingiza kwenye matatizo ya Usingo Mama tu
Ndiyo maana zipo njia za Uzazi wa Mpango kwaajili hiyo.
Wanawake watambue kwamba Mwanaume hakai na Mtoto, unaweza kukutana na Mwanaume DSM, kumbe Kigoma alipotoka ana Mke na Watoto
Ahsante 🙌🏻Kwani wenyewe hawajui km hapa nazaa na mpita njia?? Kwann uzae na mtu ambaye sio mumeo??
Mim naona ni kutojitambua thamani yao tuu. Kwa sabab kama unaaribu mwili kwa hela ambayo hautakua nayo muda wote nin maana yake.Kabisa aisee, akili ya mwanamke hapo inakuwa ipo tayari kwa lolote.
Kwa sasa kwenye majiji makubwa wanawake wapo tayari kuliwa tigo ilimradi wapate pesa tuu.
Vikoba na inshu kama hizo vinawapeleka putaa
Si mnagawana mlizochuma wote mkuu zile za nyuma kila mtu anabaki na zakeSikuhizi vijana hawaoi wanachezea tu, sababu kuu wala sio kujipata bali sheria kandamizi za kugawana mali baada ya kujipata tena kwa kumkomoa mwanaume amgawie mke mvivu kisa tu amechangia uroda basi hudai mgao wa 50/50
Mmh ndo hua inakua hivo mbona hua naonaga mzigo unapigwa nusu nusu tuu haijalishi mali ilikuepo au haikuepo. Mfano yule Hakim wa Morocco alieandikisha mali kwa jina la mama yake si aliandikisha mali zote hadi ambazo alikua nazo wakati hayupo na huyo dem (mpigaji).Si mnagawana mlizochuma wote mkuu zile za nyuma kila mtu anabaki na zake
Zamani mtu yeyote aliweza kumkanya na kumpa adhabu mtoto wa jirani yake.Mim naona ni kutojitambua thamani yao tuu. Kwa sabab kama unaaribu mwili kwa hela ambayo hautakua nayo muda wote nin maana yake.
Naona tunahitaji kuwaelimisha mabinti wa siku hizi kuanzia wakiwa wadogo kuwa kuna maisha mengine zaidi ya kua na hela. Pia kuelimishwa kuwa kuna njia nyingi tuu za kupata hela tena kubwa sana zaidi ya kutumia miili yao.
Sheria ya ndoa haisemi hvyo mkuu jaribu kuipitia issue ya hakim si mali aliandika jina la mama so zinasomeka sio za kwake ila za mamaMmh ndo hua inakua hivo mbona hua naonaga mzigo unapigwa nusu nusu tuu haijalishi mali ilikuepo au haikuepo. Mfano yule Hakim wa Morocco alieandikisha mali kwa jina la mama yake si aliandikisha mali zote hadi ambazo alikua nazo wakati hayupo na huyo dem (mpigaji).
Sizan kama kumkanya mtoto wa jilan ni tatizo ila swala la kumchapa au kumpiga ndio changamoto.Zamani mtu yeyote aliweza kumkanya na kumpa adhabu mtoto wa jirani yake.
Je,Sasa hivi hali ipojee..........😅😅jaribu uone kitakachokupataa.
Ni ngumu ila twaweza kujaribu kutoa elimu hata kwa njia social media
Yah zimesomeka ni za mama yake sio za kwake... hiyo si inamaanisha walitaka kuzihesabu nazo pia ndo wakakuta jina linasoma la bimkubwaSheria ya ndoa haisemi hvyo mkuu jaribu kuipitia issue ya hakim si mali aliandika jina la mama so zinasomeka sio za kwake ila za mama
Siku ukigundua huyo uliyenaye ana mahusiano ya wanaume wawili na wewe ukiwemo.Mali mali zipi wakuu, ni uzinzi tu.
Hii hoja ni dhaifu sana basi walau uwe unahudimia huko kwa mwanao, nako unakacha eti mama yake ana kiburi aisee.