Wanaume mnaojitafuta anzisheni familia mkishajipata, mnaharibu maisha ya watu na kutengeneza single mothers wengi

Yeah....ni maokoto.
Wanawake wa leo wanapenda kitchen party gala na gala zingine sasa zile zina show off.................
Duuu basi nahisi tunahitaji njia mbadala kubadilishana maisha na mawazo ya kila siku au tuseme tabia. Maana kama unavosema unapofika kwenye swala la maokoto. Mwanamke hua anapoteza akili zake timamu kabisa
 
Yeah sure.
Wanawake wa mjini hasa hawa wa kisasa wanataka kwenda kitchen party gala na gala zingine kila mwaka. Na hizi zinaambatana na show off
Je,nini kitakutokea hapo ww kama mume.
So,uwe na maokoto ya hizo mambo zake
Naamini kama mwanamke ni muelewa ataelewa kipato cha mume wake sio kila party atatakiwa awepo (utafikiri amekua maua).

Kama mwanamke anauelewa au ana upeo mkubwa wa kufikiri atatambua usawa unakaba. Na hata kam hela ipo kuna kua na mambo mengine mengi ya kufanya kuliko kila siku kutoa michango ya harusi na vicheni party.
 
Ndo inategemeana zaidi pia na familia aliyotoka....
Kuna familia wanachangishana mpaka birthday party.
Kumpata mke muelewa imekuwa ni changamoto sanaa
 
Duuu basi nahisi tunahitaji njia mbadala kubadilishana maisha na mawazo ya kila siku au tuseme tabia. Maana kama unavosema unapofika kwenye swala la maokoto. Mwanamke hua anapoteza akili zake timamu kabisa
Kabisa aisee, akili ya mwanamke hapo inakuwa ipo tayari kwa lolote.
Kwa sasa kwenye majiji makubwa wanawake wapo tayari kuliwa tigo ilimradi wapate pesa tuu.
Vikoba na inshu kama hizo vinawapeleka putaa
 
Wanawake wanawake wanaakili nzuri kwani??
Kuna vitu vyao hua wanaangalia akishaona sawa apendavyo hua hawajiulizi mala2 yaani ni shwaaaaah!

Me nadhani suala la kubeba mimba libaki kuwa ni makubaliano ya pande zote mbili.

Haiwezekani u-date na Mwanaume hata hujui mwenendo wake Wala kufahamu Mipango yake eti umbebee mimba, itakuwa ni kujiingiza kwenye matatizo ya Usingo Mama tu

Ndiyo maana zipo njia za Uzazi wa Mpango kwaajili hiyo.

Wanawake watambue kwamba Mwanaume hakai na Mtoto, unaweza kukutana na Mwanaume DSM, kumbe Kigoma alipotoka ana Mke na Watoto
Siku anapokuja kuona picha kamili ya mwanaume ndio matusi ya kuita mbwa yanapoanzia
 
Kabisa aisee, akili ya mwanamke hapo inakuwa ipo tayari kwa lolote.
Kwa sasa kwenye majiji makubwa wanawake wapo tayari kuliwa tigo ilimradi wapate pesa tuu.
Vikoba na inshu kama hizo vinawapeleka putaa
Mim naona ni kutojitambua thamani yao tuu. Kwa sabab kama unaaribu mwili kwa hela ambayo hautakua nayo muda wote nin maana yake.

Naona tunahitaji kuwaelimisha mabinti wa siku hizi kuanzia wakiwa wadogo kuwa kuna maisha mengine zaidi ya kua na hela. Pia kuelimishwa kuwa kuna njia nyingi tuu za kupata hela tena kubwa sana zaidi ya kutumia miili yao.
 
Si mnagawana mlizochuma wote mkuu zile za nyuma kila mtu anabaki na zake
Mmh ndo hua inakua hivo mbona hua naonaga mzigo unapigwa nusu nusu tuu haijalishi mali ilikuepo au haikuepo. Mfano yule Hakim wa Morocco alieandikisha mali kwa jina la mama yake si aliandikisha mali zote hadi ambazo alikua nazo wakati hayupo na huyo dem (mpigaji).
 
Mim naona ni kutojitambua thamani yao tuu. Kwa sabab kama unaaribu mwili kwa hela ambayo hautakua nayo muda wote nin maana yake.

Naona tunahitaji kuwaelimisha mabinti wa siku hizi kuanzia wakiwa wadogo kuwa kuna maisha mengine zaidi ya kua na hela. Pia kuelimishwa kuwa kuna njia nyingi tuu za kupata hela tena kubwa sana zaidi ya kutumia miili yao.
Zamani mtu yeyote aliweza kumkanya na kumpa adhabu mtoto wa jirani yake.
Je,Sasa hivi hali ipojee..........😅😅jaribu uone kitakachokupataa.
Ni ngumu ila twaweza kujaribu kutoa elimu hata kwa njia social media
 
Mmh ndo hua inakua hivo mbona hua naonaga mzigo unapigwa nusu nusu tuu haijalishi mali ilikuepo au haikuepo. Mfano yule Hakim wa Morocco alieandikisha mali kwa jina la mama yake si aliandikisha mali zote hadi ambazo alikua nazo wakati hayupo na huyo dem (mpigaji).
Sheria ya ndoa haisemi hvyo mkuu jaribu kuipitia issue ya hakim si mali aliandika jina la mama so zinasomeka sio za kwake ila za mama
 
Zamani mtu yeyote aliweza kumkanya na kumpa adhabu mtoto wa jirani yake.
Je,Sasa hivi hali ipojee..........😅😅jaribu uone kitakachokupataa.
Ni ngumu ila twaweza kujaribu kutoa elimu hata kwa njia social media
Sizan kama kumkanya mtoto wa jilan ni tatizo ila swala la kumchapa au kumpiga ndio changamoto.

Hivyo bora kumkanya tuu kwa maneno aelimike maana akiwa ameelimika atasaidia kuwabadilisha wengine.

Pia kutumia social media haitoshi maana waliopo hum ni watu wazima wengi ambao kimsingi wameshakomaa na maisha ila wale ambao ni wabichi katika elimu bado inahitajika elimu ya mdomo kwa mdomo.

Hivyo kuanzia mashuleni na mitaani kama rengo likiwa moja naamini mabinti wengi watapevuka kabla hawajafikia umri wa kudanganywa na kupotea.
 
Sheria ya ndoa haisemi hvyo mkuu jaribu kuipitia issue ya hakim si mali aliandika jina la mama so zinasomeka sio za kwake ila za mama
Yah zimesomeka ni za mama yake sio za kwake... hiyo si inamaanisha walitaka kuzihesabu nazo pia ndo wakakuta jina linasoma la bimkubwa
 
Back
Top Bottom