Mbogo_beichee
JF-Expert Member
- Mar 31, 2021
- 224
- 608
- Thread starter
-
- #121
Hapo niunge na swali. Hivi DNA bongo zipo kweli ama hua ni mpaka kwa wenzetuSiku ukigundua huyo uliyenaye ana mahusiano ya wanaume wawili na wewe ukiwemo.
Siku akipata mimba, utahudumia?
Matatizo ya mahusiano ni mengi
Bongo zipo ila wameshachakachua matokeo. Wakikuambia siyo wako mtoto atakosa matunzo ni bora wakuambie ni wako ili wapunguze idadi ya watoto wa mitaaniHapo niunge na swali. Hivi DNA bongo zipo kweli ama hua ni mpaka kwa wenzetu
Binafsi huwa nakuwa muwazi mwanzoni kabisa ya mahusiano ili kuepusha kuliliwa na ManziWanawake wanawake wanaakili nzuri kwani??
Kuna vitu vyao hua wanaangalia akishaona sawa apendavyo hua hawajiulizi mala2 yaani ni shwaaaaah!
Siku anapokuja kuona picha kamili ya mwanaume ndio matusi ya kuita mbwa yanapoanzia
Ko wanaweza kukudanganya ili ulee tuu mtoto. Duh!Bongo zipo ila wameshachakachua matokeo. Wakikuambia siyo wako mtoto atakosa matunzo ni bora wakuambie ni wako ili wapunguze idadi ya watoto wa mitaani
Mahari zimefika shi ngap sasa hivi 🤣🤣Unachosema ni kweli. Nadhani kama vijana ni mda wa kubadilisha mtindo wa maisha.
Ila wazee wajitahidi kupunguza mahari vijana waoe. LOL 😁😃
Kama mmependana na Mchumba ako, mtakaa Chini na kukubaliana mahari ambayo yeye ndiyo ataenda kuwatajia Wazee wake ambao later ndiyo watakuja kukutajia wewe.Unachosema ni kweli. Nadhani kama vijana ni mda wa kubadilisha mtindo wa maisha.
Ila wazee wajitahidi kupunguza mahari vijana waoe. LOL 😁😃
TRUEKama mmependana na Mchumba ako, mtakaa Chini na kukubaliana mahari ambayo yeye ndiyo ataenda kuwatajia Wazee wake ambao later ndiyo watakuja kukutajia wewe.
Hakuna Mwanamke atakataa kuolewa kisa mahari kubwa aliyotajiwa Mchumba ake. Mara nyingi utatajiwa mahari ambayo utaweza kumudu.
Ndoa zimekuwa adimu sana miaka hii, hivyo zinatafutwa Kwa udi na uvumba
Kabisa Mkuu, vile vile mahari inalipwa Kwa Installments.TRUE
Kwa hiyo wale wanaopigizwa na mahari makubwa hua inakuajeKabisa Mkuu, vile vile mahari inalipwa Kwa Installments.
Unaweza ukalipa miaka hata 10 kutegemeana na uwezo wako.
mwezi wa 9 mwaka jana wife aliondoka nyumbani kimasihara kabisa na mtoto, akanijibu mbovu kabisa nikasema basi nitume pesa ya matumizi pesa akaniludishia nikanyanyua mikono,mtu wa namna hii unamfanyaje?Asimia 95 ya mabinti usingle mother wao huwa ni wakujitakia tena huwa wanautafuta kwa nguvu ,acha kuwa angushia jumba bovu wanaume.
Wale wanaamua kukomeshana tu, japo huonesha kuwa Mwanaume na Mwanamke hawakuwahi kuwa na ukaribu. Hawakuwahi kudate kabla ya Ndoa.Kwa hiyo wale wanaopigizwa na mahari makubwa hua inakuaje
Ndoa ni uvumilivu na kusameheana. Pateni muda mkae chini myajenge na kila kitu kitakua sawamwezi wa 9 mwaka jana wife aliondoka nyumbani kimasihara kabisa na mtoto, akanijibu mbovu kabisa nikasema basi nitume pesa ya matumizi pesa akaniludishia nikanyanyua mikono,mtu wa namna hii unamfanyaje?
Mfano hiyo 2m mlikubaliana na mkeo ama uliikuta tuu kwenye kikaoWale wanaamua kukomeshana tu, japo huonesha kuwa Mwanaume na Mwanamke hawakuwahi kuwa na ukaribu. Hawakuwahi kudate kabla ya Ndoa.
Mimi nimelipa 2M, japo hadi sasa sijamaliza kulipa 😜
Kwani mumeo hawezi kukuacha?Kwani wenyewe hawajui km hapa nazaa na mpita njia?? Kwann uzae na mtu ambaye sio mumeo??
iliondoka akaenda kwao baadae aliomba msamaha anahitaji kuludi nyumbani,nikamtumia nauli nduguze wakamkataza wakadai niende kilimanjaro, wife ni mchaga wa rombo nikawambia sijapata mda siku nikipata nitaenda ila kila nikiwaza kwenda moyo unanikatazaNdoa ni uvumilivu na kusameheana. Pateni muda mkae chini myajenge na kila kitu kitakua sawa
Yeye tulikubaliana iwe 1M, lakini Wazee wake walikuja na 4M.Mfano hiyo 2m mlikubaliana na mkeo ama uliikuta tuu kwenye kikao
Muhimu ni kujenga kama msamaha umeonekana ni heri ukaenda ujue kinachoendelea.iliondoka akaenda kwao baadae aliomba msamaha anahitaji kuludi nyumbani,nikamtumia nauli nduguze wakamkataza wakadai niende kilimanjaro, wife ni mchaga wa rombo nikawambia sijapata mda siku nikipata nitaenda ila kila nikiwaza kwenda moyo unanikataza
Ila kwa maelezo yako inaonekana Mke/mchumba hana say sana inapofika kwenye swala la mahali maana nyie mlipanga 1m, halafu mkakuta 4m meaning 1m ya mchumba haikupewa uzito japo yeye ndo muolewajiYeye tulikubaliana iwe 1M, lakini Wazee wake walikuja na 4M.
Kwahiyo baada ya mvutano kidogo, ikaamuliwa 2M.
Kwahiyo mara nyingi suala la mahari discussion huanzia Kwa Wapenzi wenyewe.