Wanaume mnaojitafuta anzisheni familia mkishajipata, mnaharibu maisha ya watu na kutengeneza single mothers wengi

Wanawake wanawake wanaakili nzuri kwani??
Kuna vitu vyao hua wanaangalia akishaona sawa apendavyo hua hawajiulizi mala2 yaani ni shwaaaaah!

Siku anapokuja kuona picha kamili ya mwanaume ndio matusi ya kuita mbwa yanapoanzia
Binafsi huwa nakuwa muwazi mwanzoni kabisa ya mahusiano ili kuepusha kuliliwa na Manzi

Kama atataka tuendelee ajue kabisa terms and conditions
 
Unachosema ni kweli. Nadhani kama vijana ni mda wa kubadilisha mtindo wa maisha.

Ila wazee wajitahidi kupunguza mahari vijana waoe. LOL 😁😃
Kama mmependana na Mchumba ako, mtakaa Chini na kukubaliana mahari ambayo yeye ndiyo ataenda kuwatajia Wazee wake ambao later ndiyo watakuja kukutajia wewe.

Hakuna Mwanamke atakataa kuolewa kisa mahari kubwa aliyotajiwa Mchumba ake. Mara nyingi utatajiwa mahari ambayo utaweza kumudu.

Ndoa zimekuwa adimu sana miaka hii, hivyo zinatafutwa Kwa udi na uvumba
 
TRUE
 
Asimia 95 ya mabinti usingle mother wao huwa ni wakujitakia tena huwa wanautafuta kwa nguvu ,acha kuwa angushia jumba bovu wanaume.
mwezi wa 9 mwaka jana wife aliondoka nyumbani kimasihara kabisa na mtoto, akanijibu mbovu kabisa nikasema basi nitume pesa ya matumizi pesa akaniludishia nikanyanyua mikono,mtu wa namna hii unamfanyaje?
 
Ndoa ni uvumilivu na kusameheana. Pateni muda mkae chini myajenge na kila kitu kitakua sawa
 
iliondoka akaenda kwao baadae aliomba msamaha anahitaji kuludi nyumbani,nikamtumia nauli nduguze wakamkataza wakadai niende kilimanjaro, wife ni mchaga wa rombo nikawambia sijapata mda siku nikipata nitaenda ila kila nikiwaza kwenda moyo unanikataza
 
Muhimu ni kujenga kama msamaha umeonekana ni heri ukaenda ujue kinachoendelea.

Ukizidi kukaa watakuona una dharau
 
Yeye tulikubaliana iwe 1M, lakini Wazee wake walikuja na 4M.

Kwahiyo baada ya mvutano kidogo, ikaamuliwa 2M.

Kwahiyo mara nyingi suala la mahari discussion huanzia Kwa Wapenzi wenyewe.
Ila kwa maelezo yako inaonekana Mke/mchumba hana say sana inapofika kwenye swala la mahali maana nyie mlipanga 1m, halafu mkakuta 4m meaning 1m ya mchumba haikupewa uzito japo yeye ndo muolewaji
 
Back
Top Bottom