Mama yangu ni mzazi wa kisasaMmmh huyo madha naee[emoji4] [emoji4]
Chezea mpira wewe... nikifungwa mke aje niliwazaHaya wee[emoji4]
Yaani mi mpira ndo ulevi wanguDuu..!! Kimeshakuwa kilevi chako
Yaani we acha tuu[emoji23] amekukuna eti
Sawa tu....
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kila kitu na mda wake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji4]Wee achana na mambo ya mpira bwana, ni habari ingine, na hivi wametuongezea na beting tena, ndio wamezidisha mzuka kabisaaa,
Mshabiki aliebet hata dushe halisimami eti... Nawaona sana wanavyoishi kwa presha
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Nashangaa yaan wao wanadhan kugandana ndani kama siafu ndio mapenz wakat mimi akili yangu haiko hapo...hata anishike vipi dushe haliamki maana nawaza mpira..Ila nirudi saasa na tuwe tumeshida atafurahi.Nalala kidumu chote kiko tupu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji106]
Kama ungekua Anna makinda upande wa pili ungesikia majibu yao,,,NDIYOOOOOOHusika na kichwa cha habari hapo juu nawauliza nyinyi wanaume hivi kuna nini kitamu kiasi cha kufikia hatua unamuacha mkeo ndani usiku peke yake kalala na ww unaenda mpirani!
Kuna ndoa moja hapa imefungwa kama mwezi mmoja uliopita hivi lakini bwana harusi tangu bado wako fungate anamuacha mkewe anaenda mpirani
Hivi mnataka kunambia mpira ni mtamu kuliko wake zenu?
BADILIKENI WAJAMENI
Unamaanisha Mpira wa kiume au?Husika na kichwa cha habari hapo juu nawauliza nyinyi wanaume hivi kuna nini kitamu kiasi cha kufikia hatua unamuacha mkeo ndani usiku peke yake kalala na ww unaenda mpirani!
Kuna ndoa moja hapa imefungwa kama mwezi mmoja uliopita hivi lakini bwana harusi tangu bado wako fungate anamuacha mkewe anaenda mpirani
Hivi mnataka kunambia mpira ni mtamu kuliko wake zenu?
BADILIKENI WAJAMENI
Tena muongo haswaMuongo huyuuu [emoji1]