Wanaume mnaopenda Mpira

Wanaume mnaopenda Mpira

Kwa hapa umekosea, mama yangu mzazi ndie aliyenishawishi nipende kuangalia mpira nikiwa na miaka 8 japo mwenyewe haupendi hata kidogo ila aliniambia mwanaume asiyependa mpira hajakamilika.
Mmmh huyo madha naee[emoji4] [emoji4]
 
b96ba14b5d3448d482fff632f8ed28eb.jpg


I love football, general banter, ukimind nipige
[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Etiii naongopa kwelii? ?

Alafu mpira wa home unajua ambavyo haunogiii ....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Ukiambiwa uchague moja kati ya mpira na mama d wako
Utachagua nn?!
 
Sasa jee ...huyu husna analetaa mambo gani sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nyiee mmekutana wote mashabiki ndio maana
 
Bora watu wasiende kuangalia mpira
Wanawake pigeni marufuku kwani
Kuna shabiki mmoja kaangalia mpira nje timu yake ikafungwa bao 3 kwa 1
Kurudi home apewa papuchi ngoma haifanyi kazi kwa hasira na hamu hana
MPIRA UNA MADHARA KWA NDOA

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpira ni jipuu
 
Back
Top Bottom