Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
Etiii naongopa kwelii? ?[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Alafu mpira wa home unajua ambavyo haunogiii ....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Etiii naongopa kwelii? ?[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kwahiyo Baba D mpira na huyo ninii sijui uliyotaja vitu viwili tofauti kwahiyo bora ukose hiyo kuliko mpiraUmekujaa mama D??
Hauongopi Baba D ni kweli mpira wa home haunogi [emoji1][emoji1]Etiii naongopa kwelii? ?
Alafu mpira wa home unajua ambavyo haunogiii ....
Unanitafutiaa kesiii mm jamani .....Kwahiyo Baba D mpira na huyo ninii sijui uliyotaja vitu viwili tofauti kwahiyo bora ukose hiyo kuliko mpira
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] kilichonikuta leo nimekoma sijui utanitukana sijui utanionea hurumaUnanitafutiaa kesiii mm jamani .....
Ila ni vitu viwili tofauti [emoji8]
Sasa jee ...huyu husna analetaa mambo gani sasaHauongopi Baba D ni kweli mpira wa home haunogi [emoji1][emoji1]
[emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] kilichonikuta leo nimekoma sijui utanitukana sijui utanionea huruma
Uwahi basi jamaan[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ngoja kwanza nirudi home tutaelezana kinagaubana ...
Ndo maana Vanessa alikataa mapenzi ya kisela. Na huwa hayadumu maanaa hiyo siyo sifa ya mwanaume mwenye mke!!!Kabla sjaoa wife alijitahidi sana kuniachisha mpira lakini wapi....siku ya sendoff yake akanipa zawadi ya king'amuz cha DSTV eti niwe naangalia nae home bado hainogi...lazma niende kibanda umiza kuna joto....hapo akina pogba na lukaku wanakamua....narudi home sauti imekwama..naona amekubali yaishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyoo kawaidaaa .....unapigaaa pooooooBora watu wasiende kuangalia mpira
Wanawake pigeni marufuku kwani
Kuna shabiki mmoja kaangalia mpira nje timu yake ikafungwa bao 3 kwa 1
Kurudi home apewa papuchi ngoma haifanyi kazi kwa hasira na hamu hana
MPIRA UNA MADHARA KWA NDOA
Sent using Jamii Forums mobile app
Worry out...soonUwahi basi jamaan
Sio Ngumu haiwezekaniSawa bibie ila inakuwa ni ngumu
[emoji8][emoji8][emoji8]Worry out...soon
Siishi kwa kufuata maisha ya vanessaNdo maana Vanessa alikataa mapenzi ya kisela. Na huwa hayadumu maanaa hiyo siyo sifa ya mwanaume mwenye mke!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mm ndio maana nakuelewa sana.unaakili sanaMke anaweza kusubiri
Mpira unakuwaga live ule
Kiasi fulani hawako katika makosa so long as hawafanyi kinyume na makubaliano ya ndoa yao