Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
- Thread starter
- #201
Ukioa upunguzege safari za mpirani ukiweza angalia nyumbani na wife tu tena huku unakunwa kidevu[emoji1] [emoji1]Bado nipo nipo kwanza Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukioa upunguzege safari za mpirani ukiweza angalia nyumbani na wife tu tena huku unakunwa kidevu[emoji1] [emoji1]Bado nipo nipo kwanza Mkuu.
Yani mpira mtamu balaaHapa hata mawe utarushiwa
Pale mwanzo mlikuwa mnafanya dhambi now mmekuwa halaliChukulia tu tangu secondari mnabanjuana, sasa mwezi mmoja wa kwenye harusi ni kitu gani?
Hao wanaitwa waulize wakuangamizeeee....[emoji134] [emoji15] ndio kina nani hao unaowaita?![emoji87]
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji106]Uzuri mechi nyingi haziwagi wakati Wa swala.....na hata kama mida itagonga, swala ski 15 zinatosha wakati mpira ni karibu masaa mawili kwahiyo una swali alafu unarudi mpirani
[emoji134] [emoji134] [emoji134]Fanya iwe siri
Kuna kipi kipya sasa kitakachokufanya usiangalie mpira?Pale mwanzo mlikuwa mnafanya dhambi now mmekuwa halali
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mpaka anaolewa alikuwa hujui kama jamaa ni mpenda mpira??? Pambana na hali yako!!
Yaani unaolewa utafikili umelazimishwa na wazazi kumbe umechagua wewe mwenyewe na unamjua tabia zake usizozipenda!! pambana na hali yako!!
Aiseee!!!Yani mpira mtamu balaa
Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
Lioneee[emoji57] [emoji57]Whaaaaaaaaaaaaaat a goooooooooooooooaaaaaaaaaaaaaal ....
Husna shemeji wacha kabisa ....mbunye ipo ila mpira achana nao ...utanunaa yataishaa ila kuadithiwa hapana .....
Ohooo mi sitaki kuangamizwa banaaHao wanaitwa waulize wakuangamizeeee....
Chelsea raha kweliiiikweliiiiiii ...in jk voice
[emoji39][emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kipo mkuu we hujui tu coz ushakuwa teja wa mpiraKuna kipi kipya sasa kitakachokufanya usiangalie mpira?
[emoji15] [emoji15][emoji39]
[emoji15] [emoji15][emoji15] [emoji15]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Endelea kuongea huujui utamu wa kushabikia manchester
Yaaaaah ....Lioneee[emoji57] [emoji57]
Ahahaah. ndiyo raha yake ya kuwekena mkono. lazima upate cha kusimulia kesho. Kubwa zaidi, katika yote, midadi ya kukosa goli katika timu pinzani, asikwambie mtu midadi yake. vyupa vinapata shida kwenye tiles, mara paaaaa.Mmh!!humo kwenye kelele kuna wengine wanabishanaga mpaka wanataka kutiana mkononi
Aisee...!!!! Mara paaaaaaaapu duniani hakuna mchezo wa soccer HV mthamia mars au Pluto?!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Nashukuru kwa ushauri Mkuu.Ukioa upunguzege safari za mpirani ukiweza angalia nyumbani na wife tu tena huku unakunwa kidevu[emoji1] [emoji1]