Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
- Thread starter
- #161
Hee..!! Kumbe kufungwa pia ni raha!!! Ndio nimejua leoMpira hauna mchepuko,haulet gono wala nn raha tuu, kushinda rahaa kufungwa raha
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hee..!! Kumbe kufungwa pia ni raha!!! Ndio nimejua leoMpira hauna mchepuko,haulet gono wala nn raha tuu, kushinda rahaa kufungwa raha
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Mpira una utamu wake aisee...hasa uangalie live na sio marudio....mwenyew nilishawapak weng sababu ya mpira....wakat wa mpira sitaki husumbufu nazima na simu kbs.. Naweza hata nisile km timua angu ikifungwa....lkn kukosana na mke nakula kawaida tu[emoji13][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mkipendwa sana mnaleta zarau,.. Kwa sa ivi paap kidogo kitamuSijakuelewa ujue
Mmeshakuwa mateja wa mpira ndio maana
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Utamu nini, kwani unadhani huo utamu wa ndoa kaanza kuuona juzi baada ya ndoa kufungwa msikitini/kanisani? Alishaupata sana tu na ndoa haijaongeza lolote ni hatua tu ya kiroho. Ila kila mechi ya soka ina utamu wake aisee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijamaanisha hivyo mieIvi wanawake kwa nn mnapenda sana kutuendesha,...!!??
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Yaani tukinywa pombe mnalalamika, tukiangalia mpira mnalalamika duuh...[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mnataka weekend tushinde tunashikana tu
No way!!!
sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
Sijamaanisha hivyo mie
[emoji4] [emoji4] [emoji4] miss you tooHusna miss u[emoji8]
Utapigwa lionee[emoji1] [emoji1][emoji8] [emoji8] [emoji7]
sanaaaaaaa ata mm sioni haja ya mwanaume maana napenda mpiraWee ongea kitu kingine Ila sio mpira, mpira ni mtamu zaidi ya papuchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya kweli hayo mkuu?!
Na nan?Utapigwa lionee[emoji1] [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mpira unaweza kukupelekea kufanya dhambi mfano we ni muislam swala inaweza kukupita kwa kunogewa na mpira tuKatika vitu ambavyo wanaume tunafanya na hatupati dhambi ni pamoja na kuangalia mpira
Utakataza vyote lakini sio mpira.
Bora hata pombe tunaweza kuacha lakini sio mpira, unatwanga upepo kwy kinu.
yaah ukifungwa simba shabiki wa yanga anafurahi dada,then kuna Ku bet me timu yangu aseno anacheza na Madrid nisimpe Madrid nna kichaa?Hee..!! Kumbe kufungwa pia ni raha!!! Ndio nimejua leo
Bado nipo nipo kwanza Mkuu.Mkuu we hujaoa?!