Wanaume mnaopenda Mpira

Wanaume mnaopenda Mpira

Mpira una utamu wake aisee...hasa uangalie live na sio marudio....mwenyew nilishawapak weng sababu ya mpira....wakat wa mpira sitaki husumbufu nazima na simu kbs.. Naweza hata nisile km timua angu ikifungwa....lkn kukosana na mke nakula kawaida tu[emoji13][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Utamu nini, kwani unadhani huo utamu wa ndoa kaanza kuuona juzi baada ya ndoa kufungwa msikitini/kanisani? Alishaupata sana tu na ndoa haijaongeza lolote ni hatua tu ya kiroho. Ila kila mechi ya soka ina utamu wake aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Yaani tukinywa pombe mnalalamika, tukiangalia mpira mnalalamika duuh...[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mnataka weekend tushinde tunashikana tu
No way!!!

sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Katika vitu ambavyo wanaume tunafanya na hatupati dhambi ni pamoja na kuangalia mpira

Utakataza vyote lakini sio mpira.
Bora hata pombe tunaweza kuacha lakini sio mpira, unatwanga upepo kwy kinu.
Mpira unaweza kukupelekea kufanya dhambi mfano we ni muislam swala inaweza kukupita kwa kunogewa na mpira tu

Hivyo vitu vinatokea mkuu
 
Mleta mada umeamsha dude yaaan
Courtois
Azp
Luiz
Cahil
Moses
Kante
Bakayoko
Alonso
William
Hazard
Morata
Weleteeeeeeeeeeeee keshioooooo.
 
Back
Top Bottom