Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
- Thread starter
- #121
[emoji4] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Dada unajua utamu wa kushabikia Arsenal wewe, yaani hata ifungwe unaipenda tu
Halafu gemu ikipangwa saa 3 inafanyika saa 3 na huakika wa mabao upo, ila hapo kitandani ukinuna hamna gemu ni mzungu wa nne
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]