Wanaume mnaopenda Mpira

Wanaume mnaopenda Mpira

Yaani tukinywa pombe mnalalamika, tukiangalia mpira mnalalamika duuh...[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mnataka weekend tushinde tunashikana tu
No way!!!

sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
 
Tako lina vipele hutaka kutumia family wa detto kwanini nisiende kumuangalia lukaku full hd kuliko tako lenye Mchele mchele
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] afu weweee....!!! Nimecheka kwa nguvu ujue
 
Kabla sjaoa wife alijitahidi sana kuniachisha mpira lakini wapi....siku ya sendoff yake akanipa zawadi ya king'amuz cha DSTV eti niwe naangalia nae home bado hainogi...lazma niende kibanda umiza kuna joto....hapo akina pogba na lukaku wanakamua....narudi home sauti imekwama..naona amekubali yaishe

Sent using Jamii Forums mobile app
MPE pole sana
 
Habari! Nachojua ni kwamba shabiki wa kweli wa mpira ni ngumu sana akaacha kuangalia timu anayoshabikia inapocheza live, ambacho sijui ni kama anaweza kumuacha mkewe ili akaangalie mpira.
Mkuu we hujaoa?!
 
Back
Top Bottom