Wanaume mnaopenda Mpira

Wanaume mnaopenda Mpira

Dah..nilivyoona neno mpira nikaja kasi sana........badilisha heading bana.....soka ingefaa Zaidi 😀😀😀😀😀
 
Aisee we ni mwelewa sana, thumbs up!

Sent using Jamii Forums mobile app



upload_2017-9-6_10-26-32.jpeg
 
Kwa upande wangu mimi nilianza kuupenda mpira kabla hata mke wangu hanifahamu, so hana cha kunipangia kuhusu mpira

Slippy Gerald, you served football.
Hv akikwambia chagua moja umuache yaani umpe talaka yake
Au uwe naye lakini uache kwenda mpirani, utachagua lipi?!
 
Mkuu ungeongea kitu kingine lakini sio mpira aisee!!!

Nimeanza kufatilia mpira nikiwa darasa la 4 tena aliefanya nipende mpira ni mzee wangu yaani hata mpira uchezwe kuanzia saa 00:00 lazima atakuamsha tu muangalie wote.

Sasa hapo mkuu unategemea nini!!!!
Duuu huyo mzee ameshakuharibu daa yaani mpira pia ni km kilevi tu

Afu wengine hawanaga hata timu maalumu ye kila mpira anataka akaangalie tu
 
Back
Top Bottom