Wanaume mnaopenda Mpira

Wanaume mnaopenda Mpira

Yaaaaah ....

yaan mpira nimekua nao tangu nikiwa chekecheaa sasa iweje nikutane na wewe mfano lakini[emoji23] [emoji23] [emoji23] nikiwa na na umri huu alafu eti nisishabikie mpira ....si ntaenda motoni kabisa

Nafsi kwanza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ujue umenichekeshaaaa
 
Ahahaah. ndiyo raha yake ya kuwekena mkono. lazima upate cha kusimulia kesho. Kubwa zaidi, katika yote, midadi ya kukosa goli katika timu pinzani, asikwambie mtu midadi yake. vyupa vinapata shida kwenye tiles, mara paaaaa.
[emoji23] [emoji23] nimechokajeee
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ujue umenichekeshaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wewe bandiko lako ningelikuwa na uwezo ningelifutaa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wewe bandiko lako ningelikuwa na uwezo ningelifutaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio hauna saasa
 
Kwa hapa umekosea, mama yangu mzazi ndie aliyenishawishi nipende kuangalia mpira nikiwa na miaka 8 japo mwenyewe haupendi hata kidogo ila aliniambia mwanaume asiyependa mpira hajakamilika.
 
[emoji15] [emoji134] [emoji87]

Nimemind ila sikupigi wala nn
b96ba14b5d3448d482fff632f8ed28eb.jpg

I love football, general banter, ukimind nipige
 
Yaaaaah ....

yaan mpira nimekua nao tangu nikiwa chekecheaa sasa iweje nikutane na wewe mfano lakini[emoji23] [emoji23] [emoji23] nikiwa na na umri huu alafu eti nisishabikie mpira ....si ntaenda motoni kabisa

Nafsi kwanza
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Back
Top Bottom