Wanaume mnaopenda Mpira

Wanaume mnaopenda Mpira

Unanitafutiaa kesiii mm jamani .....

Ila ni vitu viwili tofauti [emoji8]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] kilichonikuta leo nimekoma sijui utanitukana sijui utanionea huruma
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Bora watu wasiende kuangalia mpira
Wanawake pigeni marufuku kwani
Kuna shabiki mmoja kaangalia mpira nje timu yake ikafungwa bao 3 kwa 1
Kurudi home apewa papuchi ngoma haifanyi kazi kwa hasira na hamu hana
MPIRA UNA MADHARA KWA NDOA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla sjaoa wife alijitahidi sana kuniachisha mpira lakini wapi....siku ya sendoff yake akanipa zawadi ya king'amuz cha DSTV eti niwe naangalia nae home bado hainogi...lazma niende kibanda umiza kuna joto....hapo akina pogba na lukaku wanakamua....narudi home sauti imekwama..naona amekubali yaishe

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana Vanessa alikataa mapenzi ya kisela. Na huwa hayadumu maanaa hiyo siyo sifa ya mwanaume mwenye mke!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora watu wasiende kuangalia mpira
Wanawake pigeni marufuku kwani
Kuna shabiki mmoja kaangalia mpira nje timu yake ikafungwa bao 3 kwa 1
Kurudi home apewa papuchi ngoma haifanyi kazi kwa hasira na hamu hana
MPIRA UNA MADHARA KWA NDOA

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyoo kawaidaaa .....unapigaaa poooooo
 
kiukweli huwez kunizuia kuangalia liverpool yangu eti kisa nikae na wewe,,kama huwez kuvumilia dakika zangu 90 za kuangalia mpira basi wewe huwez kuvumilia nikiumwa au nikisafiri mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom