Wanaume mnaopenda Mpira

Hizo ni hila. Mtu upo na mumeo kila siku unashindwa kuvumilia mwenzio akaangalie mpira dakika 90 tu. Aidha mpira wenyewe hauchezwi kila siku sasa kelele zatoka wapi? Mpira una raha yake hasa pale unapoangalia na watu wengi huku kukiwa na ushabiki na kelele za kushangilia.
 
Mmh haya wee
 
Tena usiombe mpenzi wako awe mshabiki wa Arsenal maanake unaweza kukaa mwezi hajakugusa kwasababu ya stress!
 
Ww na mpira nachagua mpira!
Yaani mm nisimuoone Mane,nikose madambwi dambwi ya Dembele na nisimuone Messi wala CR7 sababu yako?
Uondoke tena mchana kweupee
 
Ww na mpira nachagua mpira!
Yaani mm nisimuoone Mane,nikose madambwi dambwi ya Dembele na nisimuone Messi wala CR7 sababu yako?
Uondoke tena mchana kweupee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ww na mpira nachagua mpira!
Yaani mm nisimuoone Mane,nikose madambwi dambwi ya Dembele na nisimuone Messi wala CR7 sababu yako?
Uondoke tena mchana kweupee
Pole sana! 5-0 halafu uchague maumivu uache mrembo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…