Wanaume mnaopenda Mpira

Wanaume mnaopenda Mpira

Hizo ni hila. Mtu upo na mumeo kila siku unashindwa kuvumilia mwenzio akaangalie mpira dakika 90 tu. Aidha mpira wenyewe hauchezwi kila siku sasa kelele zatoka wapi? Mpira una raha yake hasa pale unapoangalia na watu wengi huku kukiwa na ushabiki na kelele za kushangilia.
 
Hizo ni hilu. Mtu upo na mumeo kila siku unashindwa kuvumilia mwenzio akaangalie mpira dakika 90 tu. Aidha mpira wenyewe hauchezwi kila siku sasa kelele zatoka wapi? Mpira una raha yake hasa pale unapoangalia na watu wengi huku kukiwa na ushabiki na kelele za kushangilia.
Mmh haya wee
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu nawauliza nyinyi wanaume hivi kuna nini kitamu kiasi cha kufikia hatua unamuacha mkeo ndani usiku peke yake kalala na ww unaenda mpirani!

Kuna ndoa moja hapa imefungwa kama mwezi mmoja uliopita hivi lakini bwana harusi tangu bado wako fungate anamuacha mkewe anaenda mpirani
Hivi mnataka kunambia mpira ni mtamu kuliko wake zenu?

BADILIKENI WAJAMENI
Tena usiombe mpenzi wako awe mshabiki wa Arsenal maanake unaweza kukaa mwezi hajakugusa kwasababu ya stress!
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu nawauliza nyinyi wanaume hivi kuna nini kitamu kiasi cha kufikia hatua unamuacha mkeo ndani usiku peke yake kalala na ww unaenda mpirani!

Kuna ndoa moja hapa imefungwa kama mwezi mmoja uliopita hivi lakini bwana harusi tangu bado wako fungate anamuacha mkewe anaenda mpirani
Hivi mnataka kunambia mpira ni mtamu kuliko wake zenu?

BADILIKENI WAJAMENI

Ww na mpira nachagua mpira!
Yaani mm nisimuoone Mane,nikose madambwi dambwi ya Dembele na nisimuone Messi wala CR7 sababu yako?
Uondoke tena mchana kweupee
 
Ww na mpira nachagua mpira!
Yaani mm nisimuoone Mane,nikose madambwi dambwi ya Dembele na nisimuone Messi wala CR7 sababu yako?
Uondoke tena mchana kweupee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ww na mpira nachagua mpira!
Yaani mm nisimuoone Mane,nikose madambwi dambwi ya Dembele na nisimuone Messi wala CR7 sababu yako?
Uondoke tena mchana kweupee
Pole sana! 5-0 halafu uchague maumivu uache mrembo?
 
Back
Top Bottom