jovin607
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 469
- 312
Kuna siku tulipigwa 4 bila yani siku hiyo nililala na maumivu makaliMmh pole mwee
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna siku tulipigwa 4 bila yani siku hiyo nililala na maumivu makaliMmh pole mwee
Basi mtuache wanawake muendelee na mpira wenu
Ushakuwa teja[emoji1]Kuna siku tulipigwa 4 bila yani siku hiyo nililala na maumivu makali
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh haya weeHizo ni hilu. Mtu upo na mumeo kila siku unashindwa kuvumilia mwenzio akaangalie mpira dakika 90 tu. Aidha mpira wenyewe hauchezwi kila siku sasa kelele zatoka wapi? Mpira una raha yake hasa pale unapoangalia na watu wengi huku kukiwa na ushabiki na kelele za kushangilia.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Sawa tu hakuna nouma
Haya weeUsifananishe utamu wa mpira na ndoa acha kabisa.mpira ni stress free
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena usiombe mpenzi wako awe mshabiki wa Arsenal maanake unaweza kukaa mwezi hajakugusa kwasababu ya stress!Husika na kichwa cha habari hapo juu nawauliza nyinyi wanaume hivi kuna nini kitamu kiasi cha kufikia hatua unamuacha mkeo ndani usiku peke yake kalala na ww unaenda mpirani!
Kuna ndoa moja hapa imefungwa kama mwezi mmoja uliopita hivi lakini bwana harusi tangu bado wako fungate anamuacha mkewe anaenda mpirani
Hivi mnataka kunambia mpira ni mtamu kuliko wake zenu?
BADILIKENI WAJAMENI
Husika na kichwa cha habari hapo juu nawauliza nyinyi wanaume hivi kuna nini kitamu kiasi cha kufikia hatua unamuacha mkeo ndani usiku peke yake kalala na ww unaenda mpirani!
Kuna ndoa moja hapa imefungwa kama mwezi mmoja uliopita hivi lakini bwana harusi tangu bado wako fungate anamuacha mkewe anaenda mpirani
Hivi mnataka kunambia mpira ni mtamu kuliko wake zenu?
BADILIKENI WAJAMENI
Hayaaa lewa mkuuu
Loh mayo weenga[emoji134] [emoji134]Tena usiombe mpenzi wako awe mshabiki wa Arsenal maanake unaweza kukaa mwezi hajakugusa kwasababu ya stress!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ww na mpira nachagua mpira!
Yaani mm nisimuoone Mane,nikose madambwi dambwi ya Dembele na nisimuone Messi wala CR7 sababu yako?
Uondoke tena mchana kweupee
Pole sana! 5-0 halafu uchague maumivu uache mrembo?Ww na mpira nachagua mpira!
Yaani mm nisimuoone Mane,nikose madambwi dambwi ya Dembele na nisimuone Messi wala CR7 sababu yako?
Uondoke tena mchana kweupee
We acha tu kipenzi
Kuliko mbunye?!
Haya weembunye raha yake ni sekunde 8 kitaalam, sasa mpira dakika 95 unacheka
Karibu tena mpenziWe acha tu kipenzi