ID yako mkuu ina relate na ulichovcoment[emoji4]Wee ongea kitu kingine Ila sio mpira, mpira ni mtamu zaidi ya papuchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU YALIKUKUTA NINI?Tako lina vipele hutaka kutumia family wa detto kwanini nisiende kumuangalia lukaku full hd kuliko tako lenye Mchele mchele
MorataaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaMbona jambo la kawaida kabisa hilo? Yani niache mpira kisa mbunye? Haiwezekani.
We mwenyewe unaona ujanja sio?Nzuri zaidi ni pale inapokuwa, Nyumbani umeweka King'amuzi cha CCM (Startimes) na Nyumba ndogo umemfugia Dstv....
Utakuwa unatazama mpira ukiwa na Shabiki wako wa kweli pembeni...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpira ndio starehe yenye uhakika na sio starehe nyingine zenye mashakaHapa hata mawe utarushiwa
Husna kinaanza mpira soccer ndyo inafuata papuchi na vingnevyo hakuna raha kama kuona messi au Ronardo anavyonyanyasa watu hapo lazima nikuache ndaniHusika na kichwa cha habari hapo juu nawauliza nyinyi wanaume hivi kuna nini kitamu kiasi cha kufikia hatua unamuacha mkeo ndani usiku peke yake kalala na ww unaenda mpirani!
Kuna ndoa moja hapa imefungwa kama mwezi mmoja uliopita hivi lakini bwana harusi tangu bado wako fungate anamuacha mkewe anaenda mpirani
Hivi mnataka kunambia mpira ni mtamu kuliko wake zenu?
BADILIKENI WAJAMENI
Husika na kichwa cha habari hapo juu nawauliza nyinyi wanaume hivi kuna nini kitamu kiasi cha kufikia hatua unamuacha mkeo ndani usiku peke yake kalala na ww unaenda mpirani!
Kuna ndoa moja hapa imefungwa kama mwezi mmoja uliopita hivi lakini bwana harusi tangu bado wako fungate anamuacha mkewe anaenda mpirani
Hivi mnataka kunambia mpira ni mtamu kuliko wake zenu?
BADILIKENI WAJAMENI