Wanaume mnaopenda Mpira

Wanaume mnaopenda Mpira

Kabla sjaoa wife alijitahidi sana kuniachisha mpira lakini wapi....siku ya sendoff yake akanipa zawadi ya king'amuz cha DSTV eti niwe naangalia nae home bado hainogi...lazma niende kibanda umiza kuna joto....hapo akina pogba na lukaku wanakamua....narudi home sauti imekwama..naona amekubali yaishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba
Arsenal
Barcelona

Naachaje kwenda kuangalia mpira? Hakuna raha kama kuangalia mpira asee tena kwenye mkusanyiko mkubwa

Naipenda JF
 
Habari! Nachojua ni kwamba shabiki wa kweli wa mpira ni ngumu sana akaacha kuangalia timu anayoshabikia inapocheza live, ambacho sijui ni kama anaweza kumuacha mkewe ili akaangalie mpira.
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu nawauliza nyinyi wanaume hivi kuna nini kitamu kiasi cha kufikia hatua unamuacha mkeo ndani usiku peke yake kalala na ww unaenda mpirani!

Kuna ndoa moja hapa imefungwa kama mwezi mmoja uliopita hivi lakini bwana harusi tangu bado wako fungate anamuacha mkewe anaenda mpirani
Hivi mnataka kunambia mpira ni mtamu kuliko wake zenu?

BADILIKENI WAJAMENI
Husna kinaanza mpira soccer ndyo inafuata papuchi na vingnevyo hakuna raha kama kuona messi au Ronardo anavyonyanyasa watu hapo lazima nikuache ndani
 
Dada unajua utamu wa kushabikia Arsenal wewe, yaani hata ifungwe unaipenda tu
Halafu gemu ikipangwa saa 3 inafanyika saa 3 na huakika wa mabao upo, ila hapo kitandani ukinuna hamna gemu ni mzungu wa nne
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]

Back
Top Bottom