Wanaume mnaopenda Mpira

Shabikia ndo utajua utamu na presha presha za epl na UEFA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpira ni raha. Nimecheza, nimeangalia mpaka wkati naoa pia alkuwa anajua napenda mpira. raha ya mpira uangalie kwenye kelele.
 
Shabikia ndo utajua utamu wa presha presha za mzee mmoja ana itwa wenger na mikiki ya epl na UEFA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilivyoona neno mpira nilijua zana ya maangamizi kumbe mpira wa miguu!
 
Mruhusu mumeo apende mpira akiwa mpenzi wa papuchi utajuta kumfahamu au awe mpenzi wa bao ama draft mtakutana majogoo kilasiku pia mbona nyinyi hizo isidingo zenu zisizoisha mbona sisi tunawavumilia?
 
Mimi mwanamke yeyote yule nikimtongoza huwa namwambia starehe yangu ya kwanza mpira then unafatia wewe...
Kwahiyo anajua siku chama la wana UNITED likicheza anatulizana mpaka uishe..
Na tukifungwa atajua tu kazi inakuwa kwake kuniliwaza[emoji39][emoji2].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…