Wanaume mnaopenda Mpira

Dah..nilivyoona neno mpira nikaja kasi sana........badilisha heading bana.....soka ingefaa Zaidi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kwa upande wangu mimi nilianza kuupenda mpira kabla hata mke wangu hanifahamu, so hana cha kunipangia kuhusu mpira

Slippy Gerald, you served football.
Hv akikwambia chagua moja umuache yaani umpe talaka yake
Au uwe naye lakini uache kwenda mpirani, utachagua lipi?!
 
Duuu huyo mzee ameshakuharibu daa yaani mpira pia ni km kilevi tu

Afu wengine hawanaga hata timu maalumu ye kila mpira anataka akaangalie tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…