enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,089
- 3,634
Papuchi matokeo yanajulikana ila Moira hayajulikani hivyo lazima niende kucheki mpira tu papuchi ntaikuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shabikia ndo utajua utamu na presha presha za epl na UEFA.Husika na kichwa cha habari hapo juu nawauliza nyinyi wanaume hivi kuna nini kitamu kiasi cha kufikia hatua unamuacha mkeo ndani usiku peke yake kalala na ww unaenda mpirani!
Kuna ndoa moja hapa imefungwa kama mwezi mmoja uliopita hivi lakini bwana harusi tangu bado wako fungate anamuacha mkewe anaenda mpirani
Hivi mnataka kunambia mpira ni mtamu kuliko wake zenu?
BADILIKENI WAJAMENI
Shabikia ndo utajua utamu wa presha presha za mzee mmoja ana itwa wenger na mikiki ya epl na UEFAHusika na kichwa cha habari hapo juu nawauliza nyinyi wanaume hivi kuna nini kitamu kiasi cha kufikia hatua unamuacha mkeo ndani usiku peke yake kalala na ww unaenda mpirani!
Kuna ndoa moja hapa imefungwa kama mwezi mmoja uliopita hivi lakini bwana harusi tangu bado wako fungate anamuacha mkewe anaenda mpirani
Hivi mnataka kunambia mpira ni mtamu kuliko wake zenu?
BADILIKENI WAJAMENI
Mruhusu mumeo apende mpira akiwa mpenzi wa papuchi utajuta kumfahamu au awe mpenzi wa bao ama draft mtakutana majogoo kilasiku pia mbona nyinyi hizo isidingo zenu zisizoisha mbona sisi tunawavumilia?Husika na kichwa cha habari hapo juu nawauliza nyinyi wanaume hivi kuna nini kitamu kiasi cha kufikia hatua unamuacha mkeo ndani usiku peke yake kalala na ww unaenda mpirani!
Kuna ndoa moja hapa imefungwa kama mwezi mmoja uliopita hivi lakini bwana harusi tangu bado wako fungate anamuacha mkewe anaenda mpirani
Hivi mnataka kunambia mpira ni mtamu kuliko wake zenu?
BADILIKENI WAJAMENI
Ikicheza Arsenal na Barcelona inakuwaje pande gani?.Simba
Arsenal
Barcelona
Naachaje kwenda kuangalia mpira? Hakuna raha kama kuangalia mpira asee tena kwenye mkusanyiko mkubwa
Naipenda JF
Udumu milele. Nimekupenda bure walah. Mpira dakika 90 na ndoa ipo mda wote hadi kifo. Kuku wa kwako manati ya nn?Mke anaweza kusubiri
Mpira unakuwaga live ule
Kiasi fulani hawako katika makosa so long as hawafanyi kinyume na makubaliano ya ndoa yao
Aiseee. Mpira! Soka! Akitaka aende, tena Arsenal, arsenal ya UNBEATEN, acha kabisa! Mpira mtamu nyie!Wee ongea kitu kingine Ila sio mpira, mpira ni mtamu zaidi ya papuchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bao la mpira tamu kuliko bao la kitandani, hata awe na viuno vya kimakondeMke anaweza kusubiri
Mpira unakuwaga live ule
Kiasi fulani hawako katika makosa so long as hawafanyi kinyume na makubaliano ya ndoa yao
Aisee we ni mwelewa sana, thumbs up!Mke anaweza kusubiri
Mpira unakuwaga live ule
Kiasi fulani hawako katika makosa so long as hawafanyi kinyume na makubaliano ya ndoa yao