Abdallah M. Nassor
JF-Expert Member
- Mar 20, 2008
- 600
- 620
[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh mpira ni mtamu kwa kweliAcha kufananisha mpira na vitu vya kijinga..
Cc: hucna muba
Hahahah tako lenye mchele mchele hahahah,Tako lina vipele hutaka kutumia family wa detto kwanini nisiende kumuangalia lukaku full hd kuliko tako lenye Mchele mchele
Mkuu kwani tako linaonekana wakati wa mitongozanoHahahah tako lenye mchele mchele hahahah,
Ulichaguliwa nini
acha kufananisha mpira na vitu vya hovyohovyo vyenye gubuHusika na kichwa cha habari hapo juu nawauliza nyinyi wanaume hivi kuna nini kitamu kiasi cha kufikia hatua unamuacha mkeo ndani usiku peke yake kalala na ww unaenda mpirani!
Kuna ndoa moja hapa imefungwa kama mwezi mmoja uliopita hivi lakini bwana harusi tangu bado wako fungate anamuacha mkewe anaenda mpirani
Hivi mnataka kunambia mpira ni mtamu kuliko wake zenu?
BADILIKENI WAJAMENI
Football is life dear asikudanganye mtu mpira raha sanaHusika na kichwa cha habari hapo juu nawauliza nyinyi wanaume hivi kuna nini kitamu kiasi cha kufikia hatua unamuacha mkeo ndani usiku peke yake kalala na ww unaenda mpirani!
Kuna ndoa moja hapa imefungwa kama mwezi mmoja uliopita hivi lakini bwana harusi tangu bado wako fungate anamuacha mkewe anaenda mpirani
Hivi mnataka kunambia mpira ni mtamu kuliko wake zenu?
BADILIKENI WAJAMENI
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umefufua kaburiFootball is life dear asikudanganye mtu mpira raha sana
Sio kaburi la muda mrefuHusika na kichwa cha habari hapo juu nawauliza nyinyi wanaume hivi kuna nini kitamu kiasi cha kufikia hatua unamuacha mkeo ndani usiku peke yake kalala na ww unaenda mpirani!
Kuna ndoa moja hapa imefungwa kama mwezi mmoja uliopita hivi lakini bwana harusi tangu bado wako fungate anamuacha mkewe anaenda mpirani
Hivi mnataka kunambia mpira ni mtamu kuliko wake zenu?
BADILIKENI WAJAMENI
Dada ungeona goli la messi alilowapiga chelsea usingefananisha mpira na mambo mengine[emoji23] [emoji23] [emoji23] umefufua kaburi