Wanaume mnaopenda Mpira

Wanaume mnaopenda Mpira

Mpira kitu kingine siku ya mechi wife akinigomea nisiende spati usingizi kabisa mpaka mpira uishe na nipate matokeo
 
Mimi mpira ukianza hata kama nilikuwa nimeingiza ..nitajitahidi ni withdraw ili nikacheki mpira.. Ila ni ulaya siyo bongo
 
Akistaafu Messi sijui kama nitapenda mpira tena ila yanga sitaitupa
 
Ukienda mpirani ukirudi mwanamke unamkuta ndani anakungoja...

Usipoenda mpirani na mpira ukakupita ndiyo basi hiyo...

Cha kuhadithiwa hakina raha kama cha kushuhudia mwenyewe...

cc: mahondaw
 
Mambo mengine tuvumiliane kwakweli mpira hunitenganishi nao tena hapa kuna gemu ya man u baadaye nitarudi saa 7
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu nawauliza nyinyi wanaume hivi kuna nini kitamu kiasi cha kufikia hatua unamuacha mkeo ndani usiku peke yake kalala na ww unaenda mpirani!

Kuna ndoa moja hapa imefungwa kama mwezi mmoja uliopita hivi lakini bwana harusi tangu bado wako fungate anamuacha mkewe anaenda mpirani
Hivi mnataka kunambia mpira ni mtamu kuliko wake zenu?

BADILIKENI WAJAMENI
acha kufananisha mpira na vitu vya hovyohovyo vyenye gubu
 
mdada football is everything! the game we love! playing football is such a privilege that it cured my Asthma. nikiwa mdogo nilikuwa nawahi saa nane mchana uwanjani kusubiri mazoezi ya Majimaji wakati wa akina Octavin mrope, peter tino, Hamis Fande, Madaraka Selemani. aaaah such a best therapy playing or watching football
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu nawauliza nyinyi wanaume hivi kuna nini kitamu kiasi cha kufikia hatua unamuacha mkeo ndani usiku peke yake kalala na ww unaenda mpirani!

Kuna ndoa moja hapa imefungwa kama mwezi mmoja uliopita hivi lakini bwana harusi tangu bado wako fungate anamuacha mkewe anaenda mpirani
Hivi mnataka kunambia mpira ni mtamu kuliko wake zenu?

BADILIKENI WAJAMENI
Football is life dear asikudanganye mtu mpira raha sana
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu nawauliza nyinyi wanaume hivi kuna nini kitamu kiasi cha kufikia hatua unamuacha mkeo ndani usiku peke yake kalala na ww unaenda mpirani!

Kuna ndoa moja hapa imefungwa kama mwezi mmoja uliopita hivi lakini bwana harusi tangu bado wako fungate anamuacha mkewe anaenda mpirani
Hivi mnataka kunambia mpira ni mtamu kuliko wake zenu?

BADILIKENI WAJAMENI
Sio kaburi la muda mrefu
 
Tatizo ni kwamba kabla ya kuoa burudani tuliyokua tunaioata ni mpira.
Mpira unatukutanisha na marafiki,tunabadikishana mawazo, story na utani. Inakua murua..

Mpira hauna utamu zaidi ya mke hata robo. Ila tu mazoea! Kama Mimi naangalia mpira for leisure na siupi kipaumbele kiviile kama nilivokua Naupa wakati niko one man army.
ila wapo wanaongalia mpira sababu nyumbani kwa moto. Mungu awafanyie wepesi.
 
Back
Top Bottom