Hata mie pia mwanaume, wee mtajee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume tunasitahiana @ Coca...[emoji1787][emoji1787]
Ahahaha ila kiukwel wanaume hapa JF nongwa zimezid dhidi ya wanawake!.
Hata mie pia mwanaume, wee mtajee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂Eeeh si kama ww ulivo pochiless
Nina uhakika wewe ni bonge la mrembo.Alafu hao wa tiktok ndo sisi tuko huku [emoji28][emoji28][emoji28]
MakubwaTumemsagia kunguni ye34nbe mpaka amekula ban kazi nzuri Ivan Stepanov
Kwa wasiokujua sawa,ila Mimi aje kukuponda!! Nachenjia.Ni kweli mkuu msiseme hamjaambiwa!!
Mwehh... wala Sina hata hizo sifa!
Mimi siaminii kama Antonia ni kazi mbovu naamini mungu alikaa akatulia akatoa kituNi kweli mkuu msiseme hamjaambiwa!!
Mwehh... wala Sina hata hizo sifa!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Msiziamini kabisa picha za mitandaoni mkuu Teknologia kama yotre!!Kwa wasiokujua sawa,ila Mimi aje kukuponda!! Nachenjia.