Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
[emoji23][emoji23][emoji23]Acha watongozane mpaka pale siku wameamua kukutana wanashitukiana wamejaza midevu uso mzima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Acha watongozane mpaka pale siku wameamua kukutana wanashitukiana wamejaza midevu uso mzima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana mkuu me ni sawa na bibi yako𝐃𝐚𝐝𝐚 𝐢𝐧𝐚𝐨𝐧𝐞𝐤𝐚𝐧𝐚 𝐰𝐞𝐰𝐞 𝐧𝐢 𝐩𝐢𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐥𝐢. 𝕹𝖆𝖔𝖒𝖇𝖆 𝖓𝖎𝖐𝖚𝖕𝖊𝖓𝖉𝖊 [emoji175]𝖙𝖚 𝖑𝖆𝖐𝖎𝖓𝖎 𝖐𝖆𝖒𝖆 𝖍𝖚𝖙𝖔𝖏𝖆𝖑𝖎 [emoji5]
[emoji23][emoji23] Shangaa my wangu acha tu jf tujifariji na avatar nzuri[emoji23][emoji23]yaani mtaani niwe sura mbaya hata jf jamani,hebu watupumzishe kiasi
Usiseme kitu dear acha tubaki tu hapohapo wanavyotufikiria ya nini kuwapa faidaNatamani kusema jambo ila ngoja nikae kimyaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliiiiiAcha watongozane mpaka pale siku wameamua kukutana wanashitukiana wamejaza midevu uso mzima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakika hakuna haja ya kuwapa faidaUsiseme kitu dear acha tubaki tu hapohapo wanavyotufikiria ya nini kuwapa faida
Si ndo hapo 😀😀😀[emoji23][emoji23]yaani mtaani niwe sura mbaya hata jf jamani,hebu watupumzishe kiasi
😂Huu ni udhalilishaji, ukweli ni kinyume chake na uliyoyaandika hapa.
Wengi sasa hivi hawachangii mada au wanachangia Mara chache sana kwa sababu kizazi kipya cha JF mmekosa adabu na heshima
[emoji23][emoji23] Shangaa my wangu acha tu jf tujifariji na avatar nzuri
Issues sio sura, shape ndio kila kitu unaweza kuwa na sura ya baba yako ila shape na body ya maana, aaaaah mbona unavumiliwa tu na mahusiano yatahusika bila shida.[emoji1787] Kwahiyo unatushaurije sasa hivi sura zetu za baba halafu tuweke avatar mbaya hapana kwakweli pisi kali kazifate tu insta huku tumebaki mashangazi yako
[emoji122][emoji122][emoji122]Hizi tabia za kusengenyana, mimi nilijua walikuwa nazo wadada ila kwasisi wanaume, huku mbali sasa. Kama ulikataliwa siunajikataa kiume, mwanamke anakuwa affected sana na mitandao kuliko hata sauti yake tuachage uchuro.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema dada [emoji28]tuwakilishe...yani mimi nimetoka kazini nimechoka afu naambiwa jobless naskia hasira [emoji2955][emoji2955]Natamani kusema jambo ila ngoja nikae kimyaa
Nikitaka nicomment, lakini kwakuwa umeshasema wewe mwenyewe kuwa 'mjinga sana mimi' imenilazimu ninyamaze!Wewe unaona pisi ipo jf na ni mchangiaji kila siku,unategemea iwe pisi kali tangu lini.Pisi nyingi za jf ni jobless,marriageless na beautyless
Ni kweli kiongoziNikitaka nicomment, lakini kwakuwa umeshasema wewe mwenyewe kuwa 'mjinga sana mimi' imenilazimu ninyamaze!
kwahiyo avatar yako haisadifu yaliyomo 😂😂Sema dada [emoji28]tuwakilishe...yani mimi nimetoka kazini nimechoka afu naambiwa jobless naskia hasira [emoji2955][emoji2955]
😀😀😀😀mara mshangazi mara sura ya baba mara shapeless mara singles 😀😀😀Sema dada [emoji28]tuwakilishe...yani mimi nimetoka kazini nimechoka afu naambiwa jobless naskia hasira [emoji2955][emoji2955]
Mara tunawaua wanaume,mara tunawaomba hela,mara marriageless wakati hata hujawahi sema "Yes I do"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mara mshangazi mara sura ya baba mara shapeless mara singles [emoji3][emoji3][emoji3]
Waache waendeleee hivyohivyo
sio wewe bana huyo ni mzungu😂afu hii sio picha yangu nikiiweka hamtolala usiku😂Hebu nizoom vizuri nilivyo pisi kali [emoji28] afu kumbe hiz avatar sio zenu eeh me nilijua huyo ndio wewe...[emoji28][emoji28]
[emoji28][emoji28][emoji28] jichanganye sasa.sio wewe bana huyo ni mzungu[emoji23]afu hii sio picha yangu nikiiweka hamtolala usiku[emoji23]