double click
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 569
- 949
bro ukimwi upo kila mahali pia kumbuka hawa walioko kitaa ndio hawa hawa walioko JfUnapokutana nao ukumbuke kuvaa kondomu, wengi wao pia wanasemekana afya zao sio rafiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bro ukimwi upo kila mahali pia kumbuka hawa walioko kitaa ndio hawa hawa walioko JfUnapokutana nao ukumbuke kuvaa kondomu, wengi wao pia wanasemekana afya zao sio rafiki.
😂😂😂Nilikuwa nazama zama PM kipindi cha nyuma, ila nilikutana na memba m1 hvi kweny miadi ya kuonana.
Toka siku hiyo nimesitisha, Aisee muonekano 0
sitaki kukutana na kituko tena
Wewe unaona pisi ipo jf na ni mchangiaji kila siku,unategemea iwe pisi kali tangu lini.Pisi nyingi za jf ni jobless,marriageless na beautyless
Nimepiga dislike kila comment zake. Nimepiga dislike kama 100 hivi.Huyu tunarara naye mbereeeee..!!1
Alafu hao wa tiktok ndo sisi tuko huku 😅😅😅Niliwahi kuwasema nikapigwa ban , ukweli Ni kwamba hakuna mwanamke mzuri yupo huku ,, wanawake wazuri wako tiktok huko insta ,, ukishakuwa mwanamke huku kwenye jf garage Mara muda WOTE anachangia Amini nakwambia Ni beautyless , single mothers na over age
Hizi tabia za kusengenyana, mimi nilijua walikuwa nazo wadada ila kwasisi wanaume, huku mbali sasa. Kama ulikataliwa siunajikataa kiume, mwanamke anakuwa affected sana na mitandao kuliko hata sauti yake tuachage uchuro.Niliwahi kuwasema nikapigwa ban , ukweli Ni kwamba hakuna mwanamke mzuri yupo huku ,, wanawake wazuri wako tiktok huko insta ,, ukishakuwa mwanamke huku kwenye jf garage Mara muda WOTE anachangia Amini nakwambia Ni beautyless , single mothers na over age
[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani nimeangalia avatar yako, yaliyopita mawazoni mwangu, kweli tuna mambo
𝐃𝐚𝐝𝐚 𝐢𝐧𝐚𝐨𝐧𝐞𝐤𝐚𝐧𝐚 𝐰𝐞𝐰𝐞 𝐧𝐢 𝐩𝐢𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐥𝐢. 𝕹𝖆𝖔𝖒𝖇𝖆 𝖓𝖎𝖐𝖚𝖕𝖊𝖓𝖉𝖊 💗𝖙𝖚 𝖑𝖆𝖐𝖎𝖓𝖎 𝖐𝖆𝖒𝖆 𝖍𝖚𝖙𝖔𝖏𝖆𝖑𝖎 ☺[emoji1787] Kwahiyo unatushaurije sasa hivi sura zetu za baba halafu tuweke avatar mbaya hapana kwakweli pisi kali kazifate tu insta huku tumebaki mashangazi yako
[emoji1787] Kwahiyo unatushaurije sasa hivi sura zetu za baba halafu tuweke avatar mbaya hapana kwakweli pisi kali kazifate tu insta huku tumebaki mashangazi yako
Hizi tabia za kusengenyana, mimi nilijua walikuwa nazo wadada ila kwasisi wanaume, huku mbali sasa. Kama ulikataliwa siunajikataa kiume, mwanamke anakuwa affected sana na mitandao kuliko hata sauti yake tuachage uchuro.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu hao wa tiktok ndo sisi tuko huku 😅😅😅
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wewe unaona pisi ipo jf na ni mchangiaji kila siku,unategemea iwe pisi kali tangu lini.Pisi nyingi za jf ni jobless,marriageless na beautyless
Kwani uwongo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
😅😅😅😅angalia at your own riskHv mnajuaje huyu ni mwanaume na huyu ni mwanamke maana michoko ipo mingi sana humu