Msiamini Picha za mitandaoni mkuu.... filter kama zotre!Mimi siaminii kama Antonia ni kazi mbovu naamini mungu alikaa akatulia akatoa kitu
Coca nitake radhi bbyπ€£π€£π€£Hata mie pia mwanaume, wee mtajee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Antonia mimi picha yangu ndio hiyo hiyo usiniogopeπ€£π€£π€£π€£Msiamini Picha za mitandaoni mkuu.... filter kama zotre!
Mie kiazi mbatata tu ndugu wangu sina hata huo uzuri!
Hakika, one day nimekaa na bibi mmoja mahala kwanza alinikazia kanuna, badae akaelewa swaga zangu akajiachia, nikaanza kuaona ana ji snap .. kapicha kama mtoto chini ya miaka 25... kimoyo moyo nikasema mtu anapigwaaa hapaaa π π π πMsiziamini kabisa picha za mitandaoni mkuu Teknologia kama yotre!!
Usimpende mtu kwa picha mkuu picha zinadanganya sana!
πππππππmleta mada ana gubuNina uhakika wewe ni bonge la mrembo.
Mleta mada apuuzwe.
ila mkia hauna cha fileter wala neneeee, na nyuma yako sitoki π πMsiamini Picha za mitandaoni mkuu.... filter kama zotre!
Mie kiazi mbatata tu ndugu wangu sina hata huo uzuri!
Mpuuzeni.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mleta mada ana gubu
Mleta mada anyongwe.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We don't want peace,we want problems....
Weee mkia niutoe wapi miee mjombaa!!ila mkia hauna cha fileter wala neneeee, na nyuma yako sitoki π π
nyumaaa sitokiii, mguu wako mguuu π π πWeee mkia niutoe wapi miee mjombaa!!
Mtoa mada yuko sahihi msiseme hajawaambia!
At your own risk!
Afungwe jiwe shingoni akatupwe baharini[emoji2][emoji2][emoji2]Mleta mada anyongwe.
ππππnyumaaa sitokiii, mguu wako mguuu π π π
sitokeeee hat kwaaa hujumaaa ... nipo nyumaaa yako kama uti wa mgongo π€£π€£ππππ
ππuzuri gani Tena jamni
Si huo ulio nao!? Mleta mada anasingizia watu.ππuzuri gani Tena jamni
Wew umeniona wapi ππ nilivo jiwe Sasa loohSi huo ulio nao!? Mleta mada anasingizia watu.
Uongo upi sasaMuwe mnaacha uongo
[emoji1787][emoji1787] we fala ujue[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We don't want peace,we want problems....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Si ndiyo Auntie...[emoji1787][emoji1787] we fala ujue
Wajichanganye sasa auntie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Si ndiyo Auntie...