Wanaume mnaotongoza wanawake kwa kigezo cha avatar mnaenda kupigwa na kitu kizito kichwani

Wanaume mnaotongoza wanawake kwa kigezo cha avatar mnaenda kupigwa na kitu kizito kichwani

Msiziamini kabisa picha za mitandaoni mkuu Teknologia kama yotre!!
Usimpende mtu kwa picha mkuu picha zinadanganya sana!
Hakika, one day nimekaa na bibi mmoja mahala kwanza alinikazia kanuna, badae akaelewa swaga zangu akajiachia, nikaanza kuaona ana ji snap .. kapicha kama mtoto chini ya miaka 25... kimoyo moyo nikasema mtu anapigwaaa hapaaa 😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom