Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
πππSasa kwani uongo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kweli mtu unapenda avatar?hizo avatars siyo sisi hao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli mambo ni maresh maresh.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hizo sifa tu we zipokee tu baba tamuu avumilie tu
Si ukweli au. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kweli mkuu wanapenda vivuli vya watuKwani uongo
Hii sasa iko na mipaka Shem wangu humu ni cuteless marriageWewe unaona pisi ipo jf na ni mchangiaji kila siku,unategemea iwe pisi kali tangu lini.Pisi nyingi za jf ni jobless,marriageless na beautyless
ππππππππππWewe unaona pisi ipo jf na ni mchangiaji kila siku,unategemea iwe pisi kali tangu lini.Pisi nyingi za jf ni jobless,marriageless na beautyless
Kabisa watu wapunguze shoboHv mnajuaje huyu ni mwanaume na huyu ni mwanamke maana michoko ipo mingi sana humu