Wanaume mnaotongoza wanawake kwa kigezo cha avatar mnaenda kupigwa na kitu kizito kichwani

Wanaume mnaotongoza wanawake kwa kigezo cha avatar mnaenda kupigwa na kitu kizito kichwani

Hahahaa kweli kabisa mkuu,nilichatt na dume moja linajiita huduma za kinini sijui..lilivyoona nalibana maswali magumu magumu ya kulilainisha likakimbia๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Kaa chonjo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hizo sifa tu we zipokee tu baba tamuu avumilie tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli mambo ni maresh maresh.
 
Back
Top Bottom